AFYA ZONE by Dr Wandanda

AFYA ZONE by Dr Wandanda We care
Home providing Care

13/07/2025

Akili kichwani wa Tanzania πŸ™πŸ™
Γ€mani yetu ni mhimu sana
Mimi siyo mwanasiasa Wala siyo kiongozi lakini swala la amani hulinda afya za watu WENGI nchiniπŸ™πŸ™πŸ™

Chest infection:Signs and symptoms of a chest infectionThe main symptoms of a chest infection can include:a persistent c...
21/08/2024

Chest infection:

Signs and symptoms of a chest infection

The main symptoms of a chest infection can include:

a persistent cough

coughing up yellow or green phlegm (thick mucus), or coughing up blood

breathlessness or rapid and shallow breathing

wheezing

a high temperature (fever)

a rapid heartbeat

chest pain or tightness

feeling confused and disorientated

What causes chest infections?

A chest infection is an infection of the lungs or airways. The main types of chest infection are bronchitis and pneumonia.

Most bronchitis cases are caused by viruses, whereas most pneumonia cases are due to bacteria.

These infections are usually spread when an infected person coughs or sneezes. This launches tiny droplets of fluid containing the virus or bacteria into the air, where they can be breathed in by others.

The infections can also be spread to others if you cough or sneeze onto your hand, an object or a surface, and someone else shakes your hand or touches those surfaces before touching their mouth or nose.

Certain groups of people have a higher risk of developing serious chest infections, such as:

babies and very young children

children with developmental problems

people who are very overweight

elderly people

pregnant women

people who smoke

people with long-term health conditions, such as asthma, heart disease, diabetes, kidney disease, cystic fibrosis or chronic obstructive pulmonary disease (COPD)

people with a weakened immune system – this could be due to a recent illness, a transplant, high-dose steroids, chemotherapy or a health condition, such as an undiagnosed HIV infection

Caring for your symptoms at home

Many chest infections aren't serious and get better within a few days or weeks. You won't usually need to see your GP, unless your symptoms suggest you have a more serious infection (see below).

While you recover at home, you can improve your symptoms by:

getting plenty of rest

drinking lots of fluid to prevent dehydration and to loosen

𝗙𝗔𝗛𝗔𝗠𝗨 π—œπ—‘π—œ 𝗑𝗔 π—žπ—”π—­π—œ π—­π—”π—žπ—˜ π—­π—”π—œπ——π—œ 𝗬𝗔 π—žπ—”π—­π—œ  𝟱𝟬𝟬 𝗠π—ͺπ—œπ—Ÿπ—œπ—‘π—œ π—›π—¨π—™π—”π—‘π—¬π—œπ—žπ—” 𝗑𝗔 π—œπ—‘π—œ [ π—Ÿπ—œπ—©π—˜π—₯ π—™π—¨π—‘π—–π—§π—œπ—’π—‘ 𝗔𝗑𝗗 𝗔𝗑𝗔𝗧𝗒𝗠𝗬 ]:Ini liko kwenye sehem...
18/06/2024

𝗙𝗔𝗛𝗔𝗠𝗨 π—œπ—‘π—œ 𝗑𝗔 π—žπ—”π—­π—œ π—­π—”π—žπ—˜ π—­π—”π—œπ——π—œ 𝗬𝗔 π—žπ—”π—­π—œ 𝟱𝟬𝟬 𝗠π—ͺπ—œπ—Ÿπ—œπ—‘π—œ π—›π—¨π—™π—”π—‘π—¬π—œπ—žπ—” 𝗑𝗔 π—œπ—‘π—œ [ π—Ÿπ—œπ—©π—˜π—₯ π—™π—¨π—‘π—–π—§π—œπ—’π—‘ 𝗔𝗑𝗗 𝗔𝗑𝗔𝗧𝗒𝗠𝗬 ]:

Ini liko kwenye sehemu ya juu ya mkono wa kulia wa patiti ya tumbo, chini ya kiwambo, na juu ya tumbo, karibu na figo ya kulia na tumbo.

Ini lina umbo la koni, ni kiungo chenye asili ya weusi na kina rangi nyekundu inayo elekea kahawia ambacho kina uzani wa takriban kilo 3.

Kuna vyanzo 2 tofauti ambavyo hutoa damu yenye oxygen na virutubisho kutoka katika ini baada tu ya Kukamilika kwa mmeng'enyo wa chakula:

1️⃣ Damu yenye oksijeni inayo pita au kusafiri kutoka kwenye mishipa ya ateri ya ini

2️⃣ Damu yenye virutubisho vingi inayo tiririka muda wote kutoka kwenye mshipa wa mlango wa ini.

Ini hushikilia takriban panti moja yani ni sawa na 13% ya usambazaji wa damu mwilini wakati wowote.

Ini lina lobes kuu 2. Zote mbili zinajumuisha sehemu 8 ambazo zinajumuisha lobes ndogo ndogo 1,000 (lobes ndogo). Lobules hizi zimeunganishwa na mifereji midogo (mirija ya damu) inayoungana na mifereji mikubwa zaidi ili kuunda mirija ya kawaida ya ini ambayo hutumika katika kufanikisha shughuli mbali mbali za kimetabolic mwilini.

Njia moja wapo ya ini hufanya kazi ya kusafirisha nyongo inayotengenezwa na seli za ini hadi kwenye kibofu cha nduru na duodenum (sehemu ya kwanza ya utumbo mwembamba) kupitia njia ya nyongo.

π—žπ—¨π— π—•π—¨π—žπ—”: Ini hudhibiti viwango vingi vya kemikali katika damu na kutoa bidhaa inayoitwa bile yani nyongo.

Hii husaidia kubeba bidhaa za taka (Taka mwili) kutoka kwenye organi hii ya ini. Damu yote inayo ondoka kwenye tumbo na matumbo lazima ipitie katika ini.

Ini husindika damu hii na kuvunjwa vunjwa kisha kusawazishwa na kuunda virutubisho na pia hubadilisha dawa kuwa aina ya kipekee ambazo ni rahisi zaidi kutumika na mwili kwa usalama zaidi ambazo hazina sumu.

Follow me on Whatsapp number 0752602660

15/06/2024

VISINGIZIO HIVI VIMECHELEWESHA WENGI KUFANIKIWA KIFEDHA.Achana navyo mara moja"visingizio ni kichaka cha watu waliojikat...
06/12/2023

VISINGIZIO HIVI VIMECHELEWESHA WENGI KUFANIKIWA KIFEDHA.

Achana navyo mara moja

"visingizio ni kichaka cha watu waliojikatia tamaa ya mafanikio."

Ukiona mtu yeyote anajivunia visingizio huyo ujue alishajitoa kwenye safari ya watu wanaopambania ukuu wao.

Yaani amechagua kuwa mtu dhaifu asiye na nafasi katika Kambi ya matajiri.

Sasa visingizio hivi ni moja ya chanzo cha watu wengi kuchelewa au kushindwa kabisa kufanikiwa..

Fanya kila unaloweza kuepuka visingizio hivi, maana havitakufikisha popote..

KISINGIZIO NO 1

BIASHARA YANGU NI NDOGO SIWEZI KUFANYA MAENDELEO YOYOTE.

Hii imani inatengeneza kisingizio kinachokufanya ushindwe kabisa kufanya mambo makubwa.

Shida ya imani ni kwamba huwezi kufanikiwa zaidi ya unavyoamini.

Hakikisha hujiwekei ukomo wa imani, kwa sababu kuamini MAKUBWA hakuhitaji gharama yoyote.

Acha kujihukumu kwa hali uliyonayo, kwa sababu hali yako ya sasa siyo hatima yako ya badae.

KISINGIZIO NO 2.

MSHAHARA WANGU NI MDOGO SIWEZI KUWEKA AKIBA.

Unapokuwa na imani hii ni rahisi kujikuta siku zinaenda miaka inasogea pasipo kufanya kitu cha maana..

Tumia udogo wa mshahara kuwa chachu ya kupambana ili kuongeza kipato chako..

Lakini pia jifunze kutunza akiba kidogo kidogo ikiwezekana tenga hata 10% au 5%.

Ukifanya hivyo kwa uaminifu utashangaa sana utajikuta unaanza kuinuka taratibu.

Hakikisha haubakii hapo ulipo, jipambanie angalau utembee taratibu, bado unayo nafasi sawa na wengine.

KISINGIZIO NO 3.

NITAKUWA NA NIDHAMU YA FEDHA NIKIWA NA KIPATO KIKUBWA.

Ndugu yangu nikwambie ukweli, kuwa na kipato kidogo haipaswi iwe sababu ya kukosa..

Nidhamu ya fedha bali inapaswa kuwa hamasa zaidi ya kuwa na nidhamu ya fedha..

Kwa sababu kitu kikiwa kidogo ndipo kinahitaji umakini mkubwa katika matumizi.

KISINGIZIO NO 4

MIMI BADO NI MDOGO TENA MWANAFUNZI SITAKIWI KUUMIZA KICHWA KUHUSU AJIRA, BIASHARA WALA PESA MPAKA BAADAE .

Jifunze kutengeneza mazingira mazuri ungali bado huna presha ya maisha.

K**a bado ni mwanafunzi endelea kujifunza kuhus

Follow AFYAZONE BY dr wandanda
05/05/2023

Follow AFYAZONE BY dr wandanda

Leteni hizo pages zenu tuwafollowFollo AFYA ZONE by Dr wandanda
05/05/2023

Leteni hizo pages zenu tuwafollow

Follo AFYA ZONE by Dr wandanda

Group la Simba click link Apo juuu kujiunga au nitext kupitia WhatsApp kwa namba 0752602660 nikuadd chap
08/01/2023

Group la Simba click link Apo juuu kujiunga au nitext kupitia WhatsApp kwa namba 0752602660 nikuadd chap

WhatsApp Group Invite

πŸŒΏπŸŒΏπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒ΄πŸŒΏπŸŒΏπŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸƒπŸƒπŸŒΏπŸŒΏπŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒΏπŸŒ΄πŸŒΏ
15/12/2022

πŸŒΏπŸŒΏπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒ΄πŸŒΏπŸŒΏπŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸƒπŸƒπŸŒΏπŸŒΏπŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒΏπŸŒ΄πŸŒΏ

31/10/2022

500 million+ members | Manage your professional identity. Build and engage with your professional network. Access knowledge, insights and opportunities.

31/10/2022

Karibu tuongee afya

500 million+ members | Manage your professional identity. Build and engage with your professional network. Access knowledge, insights and opportunities.

Address

Kasulu
Kasulu

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA ZONE by Dr Wandanda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AFYA ZONE by Dr Wandanda:

Share