30/07/2026
π KITABU KIPYA: Wanatazama Lakini Hawanunui
K**a una biashara ndogo unayoiendesha WhatsApp, Instagram au TikTok, na unajisikia:
β Unapost kila siku lakini simu haiiti kwa oda
β Watu wanapenda bidhaa yako lakini hawaendelei kununua
β Umechoka kulipia matangazo bila matokeo
Nimeandika mwongozo wa kurasa 15, wa vitendo kabisa β bila nadharia ndefu β unaokufundisha:
β
Kwa nini watu wanatazama lakini hawanunui (sababu 5 halisi)
β
Jinsi ya kujenga uaminifu bila duka la kimwili
β
Jinsi ya kuandika machapisho yanayosukuma mauzo
β
Mfumo wa kufunga mauzo bila kubembeleza
β
Jinsi wateja wako wanaweza kukutangazia bure
Bei: TSh 10,000 tu
malipo kwa M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money.
Tuma "NAHITAJI" kwenye DM/inbox kupata copy yako leo. π