Son Simba damu

Son Simba damu ๐—ฆ๐—ต๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐—ฑ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ
๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ฎ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ ๐˜‡๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐˜๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฒ๐˜๐˜‚ ๐—•๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐—ณ๐—ผ๐—น๐—น๐—ผ๐˜„ ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚

fundi wetu ibrahim jabaar amemaliza adhabu yake ya kadi nyekundu sasa yupo huru kuitumikia timu dhidi ya geita gold like...
28/08/2026

fundi wetu ibrahim jabaar amemaliza adhabu yake ya kadi nyekundu sasa yupo huru kuitumikia timu dhidi ya geita gold

like za kutosha kwake tafadhali

chilambo moja ya usajili mzuri ndani ya kikosi chetu ingawa amecheza mechi chache lakini kaonesha kuwa ana kitu cha kuwe...
28/08/2026

chilambo moja ya usajili mzuri ndani ya kikosi chetu ingawa amecheza mechi chache lakini kaonesha kuwa ana kitu cha kuweza kuisaidia tinu yetu ebu mwaka like za kutosha kwake

like za kutosha kwa mwamba huyu libase Gueye๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
17/08/2026

like za kutosha kwa mwamba huyu libase Gueye๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

mashabiki wenzangu tusipojitoa ufahamu wa kufanya kampeni viongozi waliopo sasa wakatoka basi kila msimu utakua wa maumi...
13/08/2026

mashabiki wenzangu tusipojitoa ufahamu wa kufanya kampeni viongozi waliopo sasa wakatoka basi kila msimu utakua wa maumivu kwetu tunatakiwa kufanya maamxi magumu kuitetea timu yetu

simba mpaka sasa tunatakiwa kufukuza viongozi wetu wote maana hakuna wanachoisaidia timu mo na kundi lake lote wanatakiw...
13/08/2026

simba mpaka sasa tunatakiwa kufukuza viongozi wetu wote maana hakuna wanachoisaidia timu mo na kundi lake lote wanatakiwa kupisha damu mpya ya uongozi wenye njaa ya mafanikio maana mo yeye anaona kalibia kila kitu kakipata akiwa simba kwa sasa ni maneno tu hakuna chamaana anaifanyia simba anazidiwa na jayrutty kaahidi gari katupatia jezi kali anatuletea hapa sasa anaitajika mfadhili mwingine wa kututoa hapa na kutupeleka nchi ya ahadi lasivyo tutanyanyasika miaka mingi huyu injinia anapenda sifa sana mtaona

unamuach pipin camara unabaki na hiki shati daaah!!aisee
13/08/2026

unamuach pipin camara unabaki na hiki shati daaah!!aisee

tapeli huyu hasitahiki hata kuwa simba mamae zake
12/08/2026

tapeli huyu hasitahiki hata kuwa simba mamae zake

11/08/2026

PICHA LINAANZA ETI PESA ZIPO BENKI DAAH!!๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

huyu doumbia tapeli aiseee
08/08/2026

huyu doumbia tapeli aiseee

BINGWAAAAAAAAA
04/07/2026

BINGWAAAAAAAAA

Address

Kigoma

Telephone

+255745902448

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Son Simba damu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Son Simba damu:

Shortcuts

Share