MTU POA

MTU POA Habari Zote zinapatikana hapa

Beki wa kati wa klabu ya Simba, Rushine De Reuck, amesaini Mkataba Wa Mwaka Mmoja wa kuendelea kuwatumikia wababe hao wa...
08/03/2026

Beki wa kati wa klabu ya Simba, Rushine De Reuck, amesaini Mkataba Wa Mwaka Mmoja wa kuendelea kuwatumikia wababe hao wa Tanzania.

Pia kiungo wa kati Yusuf kagoma ameongeza Mkataba Wa Miaka Miwili kuendelea kubakia Msimbazi.

Simba Kwa Sasa naona wamejifunza, Kuna kitu Wana kihitaji msimu ujao.

Katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemkabidhi mama mzazi wa marehemu ...
08/03/2026

Katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemkabidhi mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Toyota Harrier (New Model).

Hatua hiyo imeelezwa kuwa ni sehemu ya kuthamini mchango mkubwa alioutoa marehemu Kanumba katika kukuza tasnia ya filamu nchini na kuenzi alama aliyoiacha katika sanaa ya Tanzania.

Inaelezwa kuwa zawadi hiyo imekuja kufuatia ombi la Mama Kanumba kwa Rais Samia, ambapo alieleza changamoto ya usafiri anayokutana nayo kutokana na umri wake mkubwa.

Akizungumza baada ya kupokea zawadi hiyo, Mama Kanumba alimshukuru Rais Samia kwa moyo wa upendo na kujali, akisema gari hilo litamsaidia kurahisisha shughuli zake za kila siku ambazo hapo awali zilikuwa zikimpa changamoto ya usafiri.

Akili kichwani
08/03/2026

Akili kichwani

08/03/2026

Mtu mmoja akamatwa na kupigwa Kambi ya wakimbizi Ya kwakosa la kuwaibiya Wavulana Sehem Zao Za Siri

08/03/2026

Kabla hujaoa zunguka dunia Utakuja kunishukuru

Chapati za diamond unzipa asilimia ngapi ?😂
18/01/2026

Chapati za diamond unzipa asilimia ngapi ?😂

Address

Kigoma
EBAH123

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MTU POA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share