Shasha Online TV

Shasha Online TV Subscribe YouTube channel yetu ya " ShaSha Online TV "

Kwa habari zote zilizopata kipaumbele katika jamii na magazetini usikose kutembelea katika account zetu za kijamii FB na YOUTUBE K**a " ShaSha Online TV "

USAJIRI WA WACHEZAJI WA SIMBA KWA MSIMU 2025 - 2026.* Nafasi Ya Namba 10 Simba Sports Club Mpaka Sasa 1: Jean Charles Ah...
22/08/2025

USAJIRI WA WACHEZAJI WA SIMBA KWA MSIMU 2025 - 2026.

* Nafasi Ya Namba 10 Simba Sports Club Mpaka Sasa

1: Jean Charles Ahoua
2: Gift Neo Maema
3: Mo Abraham
4: Awesu Awesu

* Nafasi Ya Winger za Simba Mpaka sasa

1: Kibu Denis
2: Ellie Mpanzu
3: Joshua Mutale
4: Ladack Chasambi
5: Mohamed Bajber

* Nafasi ya Washambuliaji wa Simba

1:Steven Mukwala
2:Jonathan Sowah
3:Seleman Mwalimu
4: Valentino Mashaka

* Nafasi ya Mabeki wa Simba

1: Chamou Karabou
2: Shomary Kapombe
3:Mligo
4:Hamza
5:De Reuck
6: Camara
7: Duchu Kameta

* Nafasi ya Viungo wa chini wa simba

1: Yusuph Kagoma
2: Alasane Kante
3: Daud Semfko

Unapendekeza waongeze nani na katika nafasi zipi hadi hapo

Club ya SIMBA SPORTS CLUB imempongeza Raisi wao, na Raisi wa heshima wa club ya SIMBA SPORTS CLUB. Baada ya kutangazwa n...
30/03/2025

Club ya SIMBA SPORTS CLUB imempongeza Raisi wao, na Raisi wa heshima wa club ya SIMBA SPORTS CLUB. Baada ya kutangazwa na jarida la Forbes

Jarida la Forbes (2025) limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa watu matajiri duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Tsh 5.7 trillioni. Mo, anakuwa tajiri namba 12 Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa utajiri huo.

2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha utajiri wa Mo
Dewji umeongezeka na kufikia, dola bilioni 2.2 kutoka dola bilioni 1.8 mwaka jana.

3. Orodha ya Forbes ya matajiri wa Afrika kwa mwaka
2024 ilibainisha kuwa utajiri wa Mo Dewji umeongezeka kutoka dola bilioni 1.5 hadi bilioni 1.8.

4. Licha ya utajiri huo, MO Dewji kupitia kampuni ya Mohamed Entrprises Limited (MeTL) imezalisha ajira 40,000 kwa watanzania, kupitia biashara 126 zinazofanywa na kampuni hiyo.

5. Lengo la Mo Dewji ni kuongeza ajira hadi kufikia laki moja kwa watanzania na wana-Afrika Mashariki.

6. Mo Dewji kupitia MoDewjl Foundation, imeshirikiana na serikali kupitia Wizara ya Maji, kuchimba visima, kukarabati na kutibu maji mkakati uliosaidia watu zaidi ya 15,000 kupata maji salama ya kunywa.

7. Utajiri wa Mo Dewji haikushia kwenye maji na afya pekee, umekwenda zaidi na kuwekeza katika tasnia ya
michezo ambako ni sehemu ya mmiliki akiwekeza
asilimia 49 kwenye klabu ya Simba.

Nafikiri bado tupo kwenye kuchanganya kati ya Kiwango na Ubora ama Daraja, Wazungu wanaenda FORM na CLASS,  ndio maana h...
25/09/2024

Nafikiri bado tupo kwenye kuchanganya kati ya Kiwango na Ubora ama Daraja, Wazungu wanaenda FORM na CLASS, ndio maana hata jana nikatoka kuwaambia ni mapema mno kumweka Golikipa wa Simba, Camara kwenye daraja moja na Diarra, k**a ambavyo ni mapema mno kumweka Chedrack Boka kwenye daraja moja na Mohamed Hussein wa Simba.

Yaani Camara acheze mechi nne au Boka acheze mechi nne halafu ghafla unataka kwenda kuwaweka kwenye daraja la Zimbwe ama Diarra? Mjadala unaweza kuwa na maana k**a Mtu akija na hoja ya Kiwango (Form) hapo ndio inaweza kuleta maana ila mjadala haupaswi kufungwa na neno NANI BORA! Yaani Ubora ni kitu kipana zaidi.

Mfano mliwahi kutuaminisha kuwa George Mpole ni bora kuliko Fiston Mayele right? Kwasasa mjadala bado upo? Mliwahi kutuaminisha Djuma Shabaan ni bora kuliko Shomari Kapombe hapa, huo mjadala bado upo? Kwa kumalizia tu ni kuwa FORM IS TEMPORARY BUT CLASS IS PERMANENT.

UBORA hupimwa kwa Longevity (Muda uliotwanga), hupimwa kwa Consistency yaani umecheza kwa muda gani kwenye kiwango kikubwa, Mafanikio binafsi na vitu k**a hivyo ambavyo ukipima kwa mechi hizi unapataje ubora?😀

✍️✍️✍️✍️✍️

15/06/2022
23/01/2022
SIMBA BINGWA TENA LIGI KUU YA TANZANIA BARA.SIMBA SC imenyakua ubingwa wa "ligi kuu Tanzania bara" baada ya kuifunga SIN...
21/05/2019

SIMBA BINGWA TENA LIGI KUU YA TANZANIA BARA.

SIMBA SC imenyakua ubingwa wa "ligi kuu Tanzania bara" baada ya kuifunga SINGIDA UNITED nyumbani kwake, kwa bao 2 - 0, goli la Kwanza likifungwa na Meddie Kagere dakika ya 10 na goli la pili na la mwisho dakika ya 60 na Captain John Bocco.

Baada ya ushidi SIMBA SC imefikisha point 91. Hakuna timu inayoweza kuipata kwa sasa wakibakiwa na michezo miwili mkononi, wakifuatiwa na YANGA wakiwa na point 83.

SIMBA SC ni bingwa mara 20 juu ya mabingwa wa kihistoria yanga ambao wamechukua mara 27.

SIMBA SC bingwa ni bingwa tena wa 2018 - 2019, baada ya walivyofanya hivyo mwaka jana 2018, baada ya kuchukua ubingwa wa "ligi kuu Tanzania bara" 2017 - 2018.
SHIKAMOO SIMBA....

LIGI YA MABINGWA AFRICAFT: JS SAOURA 2-0 SIMBA SC.Mpira umeisha. SIMBA SC yaendeleza record ya kupoteza mechi ikiwa ugwe...
09/03/2019

LIGI YA MABINGWA AFRICA
FT: JS SAOURA 2-0 SIMBA SC.

Mpira umeisha. SIMBA SC yaendeleza record ya kupoteza mechi ikiwa ugwenini, yapoteza mechi ya 3 ugwenini zidi ya JS SAOURA, SIMBA SC ameruhusu magoli 12 katika mechi 3 alizopoteza akiwa ugwenini. Katika (ligi ya mabingwa Afrika) kundi D ambalo SIMBA SC yupo, kila timu bado inanafasi ya kuvuka kwenda robo fainali kwa sasa kila mechi inayokuja mbele yao ni fainali hawatakiwi wapoteze.

LIGI YA MABINGWA AFRICA.JS SAOURA 2-0 SIMBA SC.
09/03/2019

LIGI YA MABINGWA AFRICA.
JS SAOURA 2-0 SIMBA SC.

LIGI YA MABINGWA AFRICA.JS SAOURA 1 VS SIMBA SC 0.
09/03/2019

LIGI YA MABINGWA AFRICA.
JS SAOURA 1 VS SIMBA SC 0.

Address

MTONI KIJICHI
Kijichi
15129

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shasha Online TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shasha Online TV:

Share

Category