105.9 TANAK FM FANS

105.9 TANAK FM FANS Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from 105.9 TANAK FM FANS, Radio Station, moshì_Majengo, Kilimanjaro.

Bwana akupe mahitaji ya watu wako, ukawe lango la kupitisha matumaini na majibu ya wengi.
25/04/2022

Bwana akupe mahitaji ya watu wako, ukawe lango la kupitisha matumaini na majibu ya wengi.

Kuwa makini sana na mtu unaye mpa sikio lako na moyo wako, ili usiishi maisha ya maumivu na majuto, sio kila mtu ni kwaa...
21/04/2022

Kuwa makini sana na mtu unaye mpa sikio lako na moyo wako, ili usiishi maisha ya maumivu na majuto, sio kila mtu ni kwaajili yako.

Mithali 18:24
Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.

BIRTHDAY hii ina maana kubwa kuliko yoyote iliyo wahi kutangulia. Ni BIRTHDAY ya SHUKRANI na Asante. BIRTHDAY ya kumshuk...
14/04/2022

BIRTHDAY hii ina maana kubwa kuliko yoyote iliyo wahi kutangulia.

Ni BIRTHDAY ya SHUKRANI na Asante.

BIRTHDAY ya kumshukuru kwanza MUNGU wa mbinguni yeye aliye mlinzi wa Israeli asiye sinzia wala asiye lala.

Yeye aliye MWAMINIFU na wa HAKI.

Yeye aliye ulinda uhai wa wale wamchao.

Ni BIRTHDAY ya SHUKRANI zangu kwa Familia yangu. Mke wangu mpenzi Angel Ikera: mwanamke jasiri, shupavu, muombaji, mchaji, shujaa wa imani na nguzo ya pekee. Shukrani kwa Mama yangu mzazi Esther kwa kuzidi sana kuwa mama kila leo. Shukrani kwa ndugu zangu walio jua na kusimama katika zamu zao kwaajili yangu wakati ambao niliwahitaji sana.

Ni BIRTHDAY ya SHUKRANI za KIPEKEE MNO kwa familia ya KHOEM CHURCH. Sina maelezo mazuri yatakayo tosha kwa familia hii ya kiroho.

Nimepokea undugu wa kiimani ambao sitaweza kamwe kuulipa kwa familia hii ya kiroho.

Ni BIRTHDAY ya SHUKRANI kwa rafiki zangu na jamaa zangu ndani na nje ya nchi ambao wamekuwa faraja na msaada mkubwa kwangu.

Ni BIRTHDAY ya SHUKRANI kwa watumishi wa Mungu ma Baba Askofu, wachungaji, mitume, manabii, waalimu, Wainjilisti ambao wamenijenga, wameniombea na wameniimarisha.

Ni BIRTHDAY ya SHUKRANI kwa kila mmoja aliye yagusa maisha yangu kwa namna moja ama nyingine.

MUNGU awabariki sasa na milele yote, AMINA.

"Nimrudishie BWANA nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea?

Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la BWANA;"

Zaburi 116: 12 - 13

NAFASI ZA KAZI/job vacancies..♤♧
08/04/2022

NAFASI ZA KAZI/job vacancies..♤♧

JUMAPILI HII UTAANGAZIWA NURU YA UTUKUFU.
08/04/2022

JUMAPILI HII UTAANGAZIWA NURU YA UTUKUFU.

MAHALI PA KUKUTANISHWA!! {A PLACE OF ENCOUNTER.}1. MAHALI PA UWEPO WA MUNGU. 1SAMMWELI 1: 8 - 18 HannaMATHAYO 3: 16 - 17...
03/04/2022

MAHALI PA KUKUTANISHWA!!

{A PLACE OF ENCOUNTER.}

1. MAHALI PA UWEPO WA MUNGU.

1SAMMWELI 1: 8 - 18 Hanna

MATHAYO 3: 16 - 17 Yesu Yordani

2. MAHALI ALIPO KUCHAGULIA MUNGU (KUWEPO ILI KUFANIKIWA. )

MWANZO 3: 9 Adam

MWANZO 12: 1 - Ibrahim

3. WATU ALIO KUANDALIA MUNGU.
MATENDO 10 1- 8 Kornelio kwa Petro.

POKEA kukutanishwa na muujiza wako kwa mamlaka ya jina la Yesu.

SIKU YA UTUKUFU MKUU.
30/03/2022

SIKU YA UTUKUFU MKUU.

KUANZIA LEO HII SAA KUMI JIONI. CHUKUA NAFASI.
28/03/2022

KUANZIA LEO HII SAA KUMI JIONI.

CHUKUA NAFASI.

TUKUTANE KATIKA IBADA YA KUZIDI KATIKA NCHI. UZIDI VIKWAZO, VIPIMO NA MAKISIO YA ADUI.UZIDI PANDE ZOTE NA KUDHIHIRIKA KI...
19/03/2022

TUKUTANE KATIKA IBADA YA KUZIDI KATIKA NCHI.

UZIDI VIKWAZO, VIPIMO NA MAKISIO YA ADUI.

UZIDI PANDE ZOTE NA KUDHIHIRIKA KIKAMILIFU.

KANISANI KHOEM, MOSHI MJINI MBELE YA STAND YA MBOYA KITUO NI STEFANO UNIVERSITY.

+255693414370
+255784569742

REHOBOTH.

Misingi ya taabu na dhiki imeondoshwa;  roho ya Vita, nguvu za giza na Jeshi kandamizi dhidi yako hazita kuwepo tena. Mi...
13/03/2022

Misingi ya taabu na dhiki imeondoshwa; roho ya Vita, nguvu za giza na Jeshi kandamizi dhidi yako hazita kuwepo tena.

Miujiza na shuhuda toka madhabahuni leo;

wanatembea tena

fungwa wanafunguliwa

ugua wanaponywa

zinapatikana

inapatikana

wanapatikana



Kazi za MUNGU ziko katikati yetu na jina la YESU liko kazini.

Endelea kusikiliza TANAKH FM RADIO 105.9

muujiza wako.

NAKUKARIBISHA KATIKA KONGAMANO LA SIKU MOJA KESHO JUMAPILI KUANZIA SAA TATU ASUBUHI. Kanisa la KHOEM mbele ya stand ya m...
12/03/2022

NAKUKARIBISHA KATIKA KONGAMANO LA SIKU MOJA KESHO JUMAPILI KUANZIA SAA TATU ASUBUHI.

Kanisa la KHOEM mbele ya stand ya mboya kituo ni Stefano University.

Ni kongamano la kung'oa misingi ya taabu na dhiki; isiwepo tena sehemu ya kubebea taabu na dhiki kwako.

☎️📱📲
+255784569742
+255693414370
+255686384902

Address

Moshì_Majengo
Kilimanjaro

Telephone

+255744500510

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 105.9 TANAK FM FANS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category