
19/08/2025
Sunday Service
Hakika tulimwona Mungu akituhudumia tumejifunza juu ya Roho Mtakatifu na Kazi zake.
Kumbe kuna umuhimu wa kutembea, kuongozwa na kuwa na Roho Mtakatifu ndani yetu karibu uungane nasi kila Jumapili, Jumatano na Alhamisi
Mungu awabariki sana