Shine Fm Radio Moshi Kilimanjaro

Shine Fm Radio Moshi Kilimanjaro Karibu katika ukurasa wetu wa Radio Shine FM 95.1 kutoka Moshi Kilimanjaro

22/06/2022

GB
Karibu leo ni Chaguo la msikilizaji, tuambie ungependa tukuchezee wimbo gani....na Raymond Felix atakuchezea.

MUDA
saa 08:00 Mchana hadi saa 10:00 Jioni.

17/06/2022

GB
leo Ijumaa ni kali za Kaskazini ...tuambie unatufuatia ukiwa maeneo gani hivyo tu usitume salamu fanya kukaribisha wadau wasikilize kipindi.

Raymond Felix atasoma ujumbe wako saa 08:00 mchana hadi saa 10:00 Jioni.

16/06/2022

TBT
leo ni Alhamis poa sana karibu katika kipindi chako bora zaidi cha nyimbo za Injili GOSPEL BEAT kipindi ambacho huwa kinakujia kila siku Jumatatu hadi Jumamosi saa 08:00 mchana hadi saa 10:00 JIONI.

LEO ni BACK TO BACK MUSIC chagua wimbo wako wa enzi hizoooo na Raymond Felix atakwenda kukuchezea.

Karibu sana.

15/06/2022

leo ni Jumatano na katika Gospel Beat, tuna chaguo la msikilizaji, tuambie ungetamani kusikia wimbo wa nani afu Raymond Felix ataucheza live via Shine Fm Radio kwanzia saa 08:00 mchana 10:00 Jioni.

Kumbuka hapa ni Gospel tu!

08/06/2022

GB
Ikiwa leo ni jumatano tulivu kabisa, tukukaribishe katika show kubwa Mjini GOSPEL BEAT ambapo leo ni chaguo la msikilizaji, utapiga sim na kutuambia tukuchezee ngoma gani ya INJILI, Na Raymond FELIX atakufurahisha leo.

04/06/2022

GB
Ni Jumamosi nyingine njema na tulivu zaidi, wakati ukiendelea kuifurahia hii zawadi ya SIKU basi usisahau kuungana nasi saa 08:00 mchana hadi saa 10:00 jioni katika kipindi chako bora zaidi GOSPEL BEAT....kama utaungana na Mtangazaji wetu Raymond Felix comment neno GOSPEL BEAT.

03/06/2022

GB
Ijumaa nyingine poa zaidi karibu uungane nasi katika kipindi chako bora zaidi GOSPEL BEAT na leo ni KALI ZA KASKAZINI drop you favorautes gospel song and Raymond Felix Shall press play...saa 08:00 mchana hadi saa 10:00 Jioni.

dont miss!

02/06/2022

GB
leo Alhamisi ni back to back music...utachagua wimbo mmoja wa INJILI wa zamani na utuambie ungependa ausikilize nani akiwa wapi...na Raymond Felix atasoma ujumbe wako na ku play huo wimbo saa 08:00 Mchana hadi saa 10:00 Jioni.

KARIBU.

01/06/2022

Ikiwa leo ni June 01,2022 ambapo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa kituo chetu cha Matangazo Radio Shine Fm, TUNAKUKARIBISHA UUNGANE NASI KATIKA, Kutupongeza, kutushauri nk.

Utaungana na Raymond Felix Saa 08:00 mchana hadi saa 10:00 Jioni.

28/05/2022

GB
Karibu gosple beat leo Jumamosi May 28,2022.

Dondosha ngoma yako ya gosple kali kuliko zote ya kisasa afu Ray ataicheza kwaanzia saa 08:00 MCHANA hadi saa 10:00 JIONI.

27/05/2022

GB
Leo ni Ijumaa tulivu sana karibu katika kipindi chetu bora kabisa cha gosple beats Mida ni ile ile saa 08:00 Mchana saa 10:00 Jioni.
Utaungana na Raymond Felix.

Na leo ni KALI ZA KASKAZINI

Kumbuka hapa ni gosple tu!

25/05/2022

GB
Karibu sana na leo ni Jumatano, kutana na RAY katika chaguo la msikilizaji pale saa 08:00 mchana hadi saa 10:00 jioni.

kumbuka hapa ni gosple tu!

21/05/2022

GB
LEO JUMAMOSI TUAMBIE KATIKA CHART YETU YA NYIMBO KUMI KALI ZA INJILI NANI ANASHIKA NAFASI YA KWANZA NA KWA NINI.
Coment yako itasomwa live.

HOST Ray

20/05/2022

LEO KWENYE LUGHA YETU YA KISWAHILI EBU TUAMBIE MAANA YA MANENO HAYA

DUKU NA KOLOLO

WEKA MAONI YAKO HAPA TUCHAKATE PAMOJA

HOST : HK

11/05/2022

GB
karibu katika kipindi chako bora gosple beat leo Jumatano, KATIKA Interviw tutakuwa na Richard Kalinga ambapo leo anakuja kutambulisha wimbo mpya, baada ya album yake kufanya vizuri.

Karibu utuambie unalipi la kumshauri Mtumishi huyu wa Mungu katika safari yake ya uimbaji ....maoni yako yatasomwa live saa 08:00 Mchana hadi saa 10:00Jioni.

05/05/2022

DARUBINI LIVE KUANZIA SAA 10 MPK 12 JIONI

leo tunaskiliza kero yako iliyopo katika mtaa wako au jamii inayokuzunguka au barabara mtaa ambapo unaishi imekuwa kero keli kweli tuambie nini kero au changamoto mtaani kwako ?

weka maoni yako nitayasoma live hapa ............. FUKUTA KWELI KWELI

host : hk & aminiel

05/05/2022

TBT leo Alhamis usikose kusikilza GOSPEL BEAT NA FELIX ambapo leo ni kumbukizi ya siku yake aliyozaliwa.

ungana nasi katika kumtamkia neno la kumtakia heri katika siku yake hii maalum kabisa.

comment yako itasomwa live saa 08:00 mchana hadi saa 10:00 jioni.

04/05/2022

DARUBINI LIVE KUANZIA SAA 10 MPK 12 JIONI

KARIBU TUJADILI HILI KATIKA MJADALA LEO

kitoto kichanga chenye umri kati ya miezi minne au mitano jinsia ya kiume kimeokotwa kikiwa kimefungwa katika kifungashio cha mfuko wa taka huko kata ya Bagara wilayani Babati mkoani Manyara nini kifanyike ili kuwabaini wanaotupa watoto?

TUANDIKIE MAONI YAKO TUTAYASOMA LIVE

HOST :HK NA AMINIEL

Address

Mkabala Na Ofisi Za Tanesco Mkoa Kilimanjaro Barabara Ya Kuelekea TRA
Kilimanjaro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shine Fm Radio Moshi Kilimanjaro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share