Uwepo Digital

Uwepo Digital Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Uwepo Digital, News & Media Website, Kilimanjaro.

UWEPO DIGITAL ni taasisi inayojihusisha na utangazaji na usambazaji taarifa za injili ili watu wamjue MUNGU aliyehai tunaomba sapoti yako ili kazi ya MUNGU isonge mbele

16/10/2025

PEPO LIMEPANDA JUU YA UKUTA WA KANISANI HATARI SANA

https://youtu.be/I5UwPfinzmM?si=E-os7-xeYzRgMUsONyimbo hii yenye upako kabisa SIKILIZA na ujumbe mzito
15/10/2025

https://youtu.be/I5UwPfinzmM?si=E-os7-xeYzRgMUsO

Nyimbo hii yenye upako kabisa SIKILIZA na ujumbe mzito

Provided to YouTube by RoutenoteSINA MWINGINE (1) Β· ANTIDA MGAYA Β· ANTIDA MGAYASINA MWINGINEβ„— ANTIDA MGAYAReleased on: 2025-06-06Auto-generated by YouTube.

22/08/2025

Upako tu

22/08/2025

Yebo utawale kipaji kikubwa hiki

19/08/2025

Upako Mara dufu

"MUNGU AMENIBARIKI NA UZAO wa kiungu na wa utukufu sn NA MKE HUYU AMBAE SITAKI KUMSIFIA WALA SITAKI KUSEMA UONGO NI MWEM...
06/08/2025

"MUNGU AMENIBARIKI NA UZAO wa kiungu na wa utukufu sn NA MKE HUYU AMBAE SITAKI KUMSIFIA WALA SITAKI KUSEMA UONGO NI MWEMA SN NA MZURI MNO!wacha MUNGU akubariki na wewe popote Ulipo"
Ameandika A prosperity

Hizi fataki zilizopigwa hapa EACLC Ubungo usiku huu zinaashiria mengi, zinaashiria pia mwanga wa kwanza wa furaha isiyo ...
02/08/2025

Hizi fataki zilizopigwa hapa EACLC Ubungo usiku huu zinaashiria mengi, zinaashiria pia mwanga wa kwanza wa furaha isiyo na kifani tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan alipoizindua rasmi sehemu hii leo mchana na kumwaga baraka zake katika Kitovu hiki kipya cha kibiashara na cha kipekee Afrika Mashariki.

Wenyewe wanasema hii hatuwezi kuiita Mall kwa sababu ni zaidi ya Mall, ukitaka kupatia wakati unakizungumzia inabidi useme hiki ni Kituo cha Kibiashara na Usafirishaji Afrika Mashariki ambacho kwa Afrika Mashariki ni cha kwanza kujengwa na ni cha kipekee katika mambo mbalimbali.

Hapa ndani kuna zaidi ya Maduka elfu mbili ndani yake, kuna parking zinazoweza kuingiza mamia ya magari kwa wakati mmoja, kina mirija mikubwa ya kibiashara ambayo itawaunganisha Wafanyabiashara wa Tanzania moja kwa moja na Viwanda mbalimbali Nchini China, kina Benki zaidi ya 7 ambazo zimesha-seti mitambo yao hapa ili kurahisisha kila kitu........ endelea kufuatilia kurasa za millardayo kwa mengine mengi kuhusu kituo hiki. Uwepo Digital@topfans

28/07/2025

NYIMBO YENYE UPAKO NA MGUSO WA HARI YA JUU

BOFYA HAPA KUTAZAMA
πŸ‘‡πŸ‘‡
https://youtu.be/rpmco4o_PRA?si=8OkGvzUElNGdiJVJ

DOWNLOAD HAPA FREE
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://mdundo.com/song/5702792

SIKILIZA REDIO YETU HAPA
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://audiomack.com/redio-uwepo

πŸ›‘ UNAWEZA KUTANGAZA MATANGAZO YAKO KUPITIA RADIO UWEPO PODCAST NA UWEPO DIGITAL
☎️ / WHATSAPP
+255 625948755

🌹 TU FOLLOW INSTAGRAM
LINK πŸ‘‡
https://www.instagram.com/uwepodigital?igsh=OTN5bzlub3lmbGQ2

WHATSAPP CHANNEL
LINK πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VbBMj0LHwXbBy6BiFt0l

Address

Kilimanjaro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uwepo Digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share