Malyunga Juma

Malyunga Juma Helping brands grow with content strategy&digital marketing.

Founder Fursaflix Digital

📈Strategy |Growth | Visibility

👇Let's Elevate Your Brand

30/01/2026

K**A UNAUZA SKINCARE PRODUCTS NA HUJAPATA COPY HII KWA BEI YA AWALI BASI UNAKOSA MAARIFA YA KUUZA LEO.

ZIMEBAKI COPY 10 TU!

WAHI SASA KWA BEI YA TSH 5000

📞WEKA ODA KWA LINK KWENYE BIO 👆

29/01/2026

Niandikie neno "CALENDER" kwenye COMMENTS na aina gani ya content unapenda ku-post zaidi?

28/01/2026

Unajua kwanink Una Followers Wemgi Lakini Ukiweka Tangazo Wanashindwa Kununua?

Nitajie Biashara yako kwenye Comment kisha nitakutumia muongozo wa kubadili account yako kuwa duka lako.

27/01/2026

How do you attracting customers to your business?

26/01/2026

Ongeza imani ya wateja wako kwako kupitia wengine uliowasaidia kutatua matatizo yao.

Je,unataka kujua namna ya kufanya wateja wakuaminii kupitia wateja wengine? Endelea kufatilia page yangu

25/01/2026

The world doesn’t reverse. Once a tool, system, or innovation takes root, it shifts how we live, work, and connect, permanently. You can resist AI, digital transformation, automation, or even simple mobile banking, but the truth is: the rest of the world is moving forward, not waiting.

The option is simple: adapt and leverage technology as your ally or be left behind in irrelevance. Progress doesn’t press rewind.

23/01/2026

KABLA YA KUAJIRI MTU WA SOCIAL MEDIA … angalia video hii ya sekunde 15! Inaweza kukuokoa miezi ya stress na biashara yako mtandaoni!

Watu wengi huchanganya hizi terms mbili, lakini zina kazi tofauti kabisa.

Social Media Manager ni k**a mfanyakazi wa ndani, anaangalia kila kitu:👇
– Daily posting
– Content creation
– Responding to customers
– Analytics

👉Hapa unalipa mtu kudumisha brand presence.

Social Media Marketer ni k**a mtaalamu wa matangazo:👇
– Marketing strategy
– Campaign planning
– Paid ads
– Conversions

👉Hapa unalipa mtu kukuza mauzo na kufungua milango ya growth.

🫵Comment MGM or MKG nikutumie sample strategy ya bure!👇

22/01/2026

Matokeo Yako Yanazungumza Zaidi Ya Process

Matokeo Yako Ni Uthibitisho wa Kazi Yako”

“Wakati wateja wanakagua huduma, hawataona effort yako yote, watavutiwa na result tu!

Matokeo Yako Ni Uthibitisho wa Kazi Yako”

Credit:

The Ultimate Guide to LinkedIn Comment Strategy: How High-Impact Comments Drive Reach and Followers
22/01/2026

The Ultimate Guide to LinkedIn Comment Strategy: How High-Impact Comments Drive Reach and Followers

IYou write thoughtful LinkedIn posts. You hit publish.

Address

Kilimanjaro
1120

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malyunga Juma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share