Kido Sports

Kido Sports Accurate analysis of sports and entertainment

Azam FC imemaliza uhusiano wao wa kikazi na Youssouph Dabo, taarifa ya klabu imethibitisha rasmi. 🔴🇹🇿Makocha wengi wa ju...
03/09/2024

Azam FC imemaliza uhusiano wao wa kikazi na Youssouph Dabo, taarifa ya klabu imethibitisha rasmi. 🔴🇹🇿

Makocha wengi wa juu tayari wameanza kufanya uchunguzi kuhusu kazi hiyo.

|



Admin WA JKT Tanzania anatamba😂
28/08/2024

Admin WA JKT Tanzania anatamba😂

Picha hii inaongea mengi sana
28/08/2024

Picha hii inaongea mengi sana

28/08/2024
Ila maisha hayako fair kabisa nikikumbuka Percy Muzi Tau alikuwa Brighton & Hove Albion FC timu ambayo inaweza kufanya v...
28/08/2024

Ila maisha hayako fair kabisa nikikumbuka Percy Muzi Tau alikuwa Brighton & Hove Albion FC timu ambayo inaweza kufanya vizuri na yeye binafsi kujitangaza ili kuvishawishi vilabu vikubwa duniani ili asajiliwe na hata kucheza mashindano ya kimataifa ya UEFA Europa League, UEFA Champions League, na hata UEFA Conference League ila anajikutq yupo Africa ila sio mbaya sana kwani ana tuzo ya FIFA Club World Cup

28/08/2024

Maajabu ya mayai haya ni kwamba yanabonyezeka

Kwa mwenendo anaoenda nao kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya simba  Jose Miquissone ni dhahiri kwamba anataka kur...
28/08/2024

Kwa mwenendo anaoenda nao kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya simba Jose Miquissone ni dhahiri kwamba anataka kurudi kwenye ubora wake wa miaka mitatu nyuma, Mechi moja amecheza akiwa k**a mchezaji wa Songo ya nchini kwao msumbiji jamaa amefunga goli moja safi sana na kuibuka mchezaji bora wa mechi (MAN OF THE MATCH)

Address

Kimbiji

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kido Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share