Broz tv Tanzania

  • Home
  • Broz tv Tanzania

Broz tv Tanzania commited to info-tain you. infotainment Tv. tuna kupa story zote zinazo trend kisiasa,burudani na michezo.

kaa karibu na sisi,
Instagram: BroZTv_tanzania
twitter:BroZTv_tanzania
Youtube:BroZ Tv tz

KUNA WATU HAWANA BAHATI TU!..😂😂👇
27/10/2021

KUNA WATU HAWANA BAHATI TU!..😂😂👇

She didn't know he was blind...ENJOY THE VIDEO ~HIT SUBSCRIBE BUTTON*****Like,Comment and Share****minecraft , fortnite , senorita-- Follow instagram.com/dar...

Hii ni noma!..🔞😂😂😂
27/10/2021

Hii ni noma!..🔞😂😂😂

Meet a cheating wife, At first refused to give a phone number to a stranger but suddenly changed her mind after seeing his car!...lol😂 Calma ...

Rotimi wa Vanessa Mdee mambo ni 🔥👇m.youtube.com/c/darextra?sub_confirmation=1
27/10/2021

Rotimi wa Vanessa Mdee mambo ni 🔥👇
m.youtube.com/c/darextra?sub_confirmation=1

HEE!...😜😂
26/10/2021

HEE!...😜😂

kilicho mkuta muuni kamvaa mwanajeshi!...He didnt know he was millitary person!..😂-- Follow instagram.com/darextra

NOMA SANA!..😂😂😂👇
08/10/2021

NOMA SANA!..😂😂😂👇

Compilation video of funny animals as caught on camera videos bts music tik tok-- Follow instagram.com/darextra

😂😂😂😂👇👇m.youtube.com/c/darextra?sub_confirmation=1
08/10/2021

😂😂😂😂👇👇
m.youtube.com/c/darextra?sub_confirmation=1

CLICK HAPA⬇⬇⬇😜 🔞m.youtube.com/c/darextra?sub_confirmation=1
08/10/2021

CLICK HAPA⬇⬇⬇😜 🔞
m.youtube.com/c/darextra?sub_confirmation=1

Vanessa Mdee na Rotimi WASHINDWA KUJIZUIA🙈⬇⬇⬇
08/10/2021

Vanessa Mdee na Rotimi
WASHINDWA KUJIZUIA🙈⬇⬇⬇

Short compilation of love moments videos from Hollywood actor Rotimi (Chosen) with Tanzanian famous artist Vanessa mdee in USA.NIGERIA TANZANIA USA AFRICA HO...

LADIES FAVOURITE!...🍆😂😂😂Click ➡️➡m.youtube.com/c/darextra?sub_confirmation=1
08/10/2021

LADIES FAVOURITE!...🍆😂😂😂
Click ➡️➡m.youtube.com/c/darextra?sub_confirmation=1

KILICHO MKUTA!....🙈😂😂😂 (WATCH⬇️⬇️⬇️)
01/10/2021

KILICHO MKUTA!....🙈😂😂😂 (WATCH⬇️⬇️⬇️)

a collection of funniest videos caught on camera,hope you enjoy watching Like, Comment & Subscribe.funny videos bts music tik tok-- Follow instagram.com/dare...

MAMBO 6 AMBAYO NI SIRI KWA MWANAMKE NA AWEZI KUKUAMBIAm.youtube.com/c/darextra?sub_confirmation=1 1. Idadi ya wapenzi wa...
01/10/2021

MAMBO 6 AMBAYO NI SIRI KWA MWANAMKE NA AWEZI KUKUAMBIA
m.youtube.com/c/darextra?sub_confirmation=1

1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani
Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli.

2. Anakulinganisha na mpenzi wa zamani
Mwanamke mara nyingi anakulinganisha na mpenzi wake wa zamani japokuwa hawezi kukwambia waziwazi. Wakati mwingine tabia hii huwafanya wanawake kuwatamani wapenzi wa zamani na hata kurudiana nao endapo watakosa mtu aliye bora kuliko mpenzi wake wa zamani.

3. Kasoro zako
Mwanamke kamwe hawezi kukwambia kasoro zako. Wanawake wanajua kumfichiaa mpenzi wao mambo wasiyotaka yajulikane kwa wengine na kwa mpenzi wake. Wanajua njia za kiujanja za kutumia ili kufichua siri zako zote. Mwanamke hawezi kukwambia kasoro zako kwa kuogopa kukuumiza.

4. Mapungufu yake
Mwanamke hawezi kukwambia mapungufu yake labda kwa kuhofia kusheshwa thamani. Wanawake ni wasiri sana kwa mapungufu yao. Wanajua vyema hofu zinazomuandamana, vitu vinavyowakosesha usingizi na mambo yanayowalemea maishani japo sio rahisi kuonyesha. Kwa nje anaweza akaonekana yuko vizuri na hana tatizo kumbe ndani ana matatizo au mapungufu. Anaweza kufanya yote kufunika upungufu wake!
5. Huwa unampagawisha mpaka anakosa la kusema
Hili halisemi kabisa mwanawake kwa sababu anaona haya kutumia maneno ya wazi kueleza raha unayompa. Maneno ya kuzuzua ni himaya ya wanaume, lakini wakati mwingine wapo wasioweza kuficha.

6. Haumridhishi katika tendo la ndoa
Wanawake wengi hawapendi kusema k**a hawaridhiki Kwenye tendo la ndoa. Wanawake wanahitaji kuandaliwa vilivyo kwa dakika 10, 20 ama nusu saa. Mara nyingine wanaume huwahi kabla mwanamke hajawa tayari na hivyo kushindwa kuridhika lakini hawezi kusema.

-Rdjmillard

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Broz tv Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Broz tv Tanzania:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share