Kalunde Digital Media

Kalunde Digital Media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kalunde Digital Media, News & Media Website, Kinondoni, Kinondoni.

Karibu tukusaidie kupata huduma zozote kwa njia ya mtandao mfano kuomba cheti cha kuzaliwa/kifo, leseni mbalimbali, huduma za NHIF, maombi ya kazi/mikopo/vyuo n.k

24/12/2025

Mwamba k**aindi kwelikweli. 😀

22/12/2025

Unalala SELECTED unaamka asubuhi NOTE SELECTED.
Kweli uchawi upo

JIPIME HAPA KABLA YA USAILI WA SEKRETARIETI YA AJIRA. Wale wa Grade III B (Secondary)na IIIC kuna quiz nimewaandalia hap...
11/12/2025

JIPIME HAPA KABLA YA USAILI WA SEKRETARIETI YA AJIRA.
Wale wa Grade III B (Secondary)na IIIC kuna quiz nimewaandalia hapa kujiandaa na Usaili Ajira. Multiple Choice 25, unachagua jibu kwenye kiduara cha herufi na unasahihishwa hapohapo. Ukimaliza tunahesabu ulizopata. 😀
Gysa link kisha follow ujipime kiwango chako https://whatsapp.com/channel/0029VarxZSe3wtb7F6iFqg44/635

Channel • 2.5K followers

Fursa kwenu wakazi wa Runzewe, Bwanga, Katoro, Geita Mjini, Kasamwa, Nzera, Mwatulole na maeneo jirani. Mwambie na jiran...
10/12/2025

Fursa kwenu wakazi wa Runzewe, Bwanga, Katoro, Geita Mjini, Kasamwa, Nzera, Mwatulole na maeneo jirani. Mwambie na jirani yako.

Karibuni sana. Nisaidie kushare tafadhali! piga simu kwa maelezo zaidi. K**a umefollow channel yetu, jibu NITAHUDHURIA
©Kalunde Digital Media

Fursa kwenu wakazi wa Runzewe, Bwanga, Katoro, Geita Mjini, Kasamwa, Nzera, Mwatulole na maeneo jirani. Mwambie na jiran...
09/12/2025

Fursa kwenu wakazi wa Runzewe, Bwanga, Katoro, Geita Mjini, Kasamwa, Nzera, Mwatulole na maeneo jirani. Mwambie na jirani yako.

Karibuni sana. Nisaidie kushare tafadhali! piga simu kwa maelezo zaidi. K**a umefollow channel yetu, jibu NITAHUDHURIA, ili kujibu click 0688 593 232



©Kalunde Digital Media

Wale wa Chemistry na Biology IIIC mambo yameshajipa huko Ajira Portal. Kazi kwako sasa. 😀
03/12/2025

Wale wa Chemistry na Biology IIIC mambo yameshajipa huko Ajira Portal. Kazi kwako sasa. 😀


Tangazo kwa waombaji wote wa ajira za MDA's  LGA's kupitia Ajira Portal. Mnaarifiwa kuhuisha akaunti n akuweka anuani ya...
26/11/2025

Tangazo kwa waombaji wote wa ajira za MDA's LGA's kupitia Ajira Portal. Mnaarifiwa kuhuisha akaunti n akuweka anuani yako ya sasa. K**a unapata changamoto tupo kwa ajili ya kumaliza shida yako. K**a una shida gusa kitufe cha "Call now" kwenye picha hapo chini au Simu 0688 593 232

Mahak**a ya Tanzania imetangaza jumla ya nafasi 430 za ajira katika taaluma mbalimbali k**a inavyoonekana hapo. Msaidizi...
19/11/2025

Mahak**a ya Tanzania imetangaza jumla ya nafasi 430 za ajira katika taaluma mbalimbali k**a inavyoonekana hapo. Msaidizi wa Ofisi na Mwandishi Mwendesha Ofisi ni watu waliosoma Record Management na Secretarial Studies n.k. Karibu tuhusaidie kutuma maombi kabla ya deadline ambayo ni Novemba 29.

Simu: 0688 593 232, 0734 23 45 23 au gusa alama ya WhatsApp

Address

Kinondoni
Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kalunde Digital Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kalunde Digital Media:

Share