
12/09/2024
On Fire 🔥🔥
NBC Premier League leo Alhamis
Saa 10:00 jioni, Singida Black Stars watakuwa nyumbani uwanja wa Liti wakikipiga na KMC
Walima Alizeti wanataka alama tatu ili waongoze msimami wa ligi, je KMC watakubali kuacha alama tatu?
Mechi hii itaruka mbashara kupitia
Dodoma Jiji kumenyana Namungo FC.
Katika michezo miwili iliyopita Dodoma na Namungo hakuna aliepata ushindi.
Je, leo nani kupata ushindi wa kwanza?
Mechi hii itaruka mbashara