
19/02/2025
"Sitoi pesa kwa ndugu au marafiki zangu wa karibu. Ukija nakuuliza unataka kufanya nini kwenye maisha yako ukisema biashara nitakufungulia, ukisema kazi nitakutafutia utaiapata. mwaka jana tu nilisaidia zaidi ya watu 11 kusafiri nje ya nchi. Hii ni kuwaepusha wasije kila mara kutafuta msaada. Kuwasaidia mara moja imekuwa siri yangu" ~Samuel Etoo