Abuu zaitun

Abuu zaitun HASBUNALLAH WANEEMAL WAKEEL

2025
26/11/2024

2025

14/10/2024

NG'AMBO TIZAMA NYUMA YAKO UPO NA NAN .

14/10/2024

Ujumbe umefika barabara

Ukitoa ulicho nacho kwa ajili ya kuwaridhisha uwapendao umepoteza,bali toa ulichonacho kwa ajili ya kupata malipo kutoka...
09/10/2024

Ukitoa ulicho nacho kwa ajili ya kuwaridhisha uwapendao umepoteza,bali toa ulichonacho kwa ajili ya kupata malipo kutoka kwa aliye kuumba wewe na wao pia.

08/10/2024

Usiwe mwenye huzuni kila wakati jua leo yako itatengeneza kesho yako iliyo bora.

06/10/2024

Kamwe usikwame wanapokukwamisha jikwamue

06/10/2024

Ukiwa mjuzi na dereva mzuri maishani jua kwamba yupo anaefanya kazi yako iwe imara everytime wherever you're

Allah mshindi juu ya kila kitu

06/10/2024

Address

Taveta
Lushoto

Opening Hours

10:30 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abuu zaitun posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share