MR BASHE

MR BASHE Home of News 🗞️🗞️🗞️🗞️

22/12/2024
08/10/2024


  wa Wakandarasi umesema kuwa unatarajia kutoa helikopta kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassa...
21/07/2024

wa Wakandarasi umesema kuwa unatarajia kutoa helikopta kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan yenye thamani ya Bilioni 10 na kiasi cha milioni 100 kununua mafuta kwaajili ya usafiri huo utakaosaidia katika shughuli za kampeni za uchanguzi mkuu.

Wakizungumza jijini Dar es salaam wamesema kuwa hatua hiyo ni katika kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais Samia katika ujenzi wa miundombinu ambayo imewasaidia kupata fursa za kufanya kazi zao za ujenzi wa miundombinu.

  your potential   unakipaji Gani .  umechukua hatua Gani kutimiza ndoto ZAKO juu ya kupaji kilicho ndani yako          ...
03/07/2024

your potential
unakipaji Gani .
umechukua hatua Gani kutimiza ndoto ZAKO juu ya kupaji kilicho ndani yako

KIPAJI huvuta fursa
18/06/2024

KIPAJI huvuta fursa

Address

DAR Es Salaam Kinondoni
Makabe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MR BASHE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MR BASHE:

Share