Bidhaa asili

Bidhaa asili ✨ Tips za urembo na mtindo wa maisha
🌿 Bidhaa bora za asili
📍 Karibu upate huduma bora

24/07/2026

💧Dalili zinazoweza kuonyesha mwili wako haupati maji ya kutosha:

-Kuhisi kiu mara kwa mara
-Mkojo kuwa wa njano iliyokolea
-Kinywa na midomo kuwa mikavu
-Ngozi kuwa kavu
-Maumivu ya kichwa
-Kizunguzungu
-Kujihisi mchovu au kukosa nguvu

💡 Muhimu:
Kunywa maji kidogo kidogo siku nzima badala ya kusubiri mpaka uhisi kiu. Mara nyingi, kiu ni ishara kwamba mwili wako tayari unahitaji maji.

⚠️ Kumbuka:
Dalili hizi zinaweza pia kusababishwa na sababu nyingine, si upungufu wa maji pekee. Zikiendelea, zikawa kali, au una dalili nyingine zinazokusumbua, ni muhimu kumwona mtaalamu wa afya

25/06/2026
04/05/2026

Kunywa maji kabla ya kula husaidia kulainisha kuta za tumbo na kuongeza uzalishaji wa ute (mucus) unaolinda tumbo dhidi ya asidi. Pia huwezesha vimeng’enya (enzymes) kufanya kazi kwa ufanisi katika kuvunja chakula kupitia mchakato wa hidrolisisi, hivyo kuboresha mmeng’enyo wa chakula kwa ujumla

Usafi wa mdomo hauishii kwenye meno pekee. Mabaki ya chakula hubaki ndani ya mashavu, na bakteria hupatikana zaidi kweny...
24/04/2026

Usafi wa mdomo hauishii kwenye meno pekee. Mabaki ya chakula hubaki ndani ya mashavu, na bakteria hupatikana zaidi kwenye pembe za midomo

Usichanganye mataulo
18/04/2026

Usichanganye mataulo

"YAANI INANIPA MUONEKANO JAMANI..." ​Haya ni maneno halisi ya mteja wetu baada ya kutumia bidhaa zetu kwa wiki mbili tu!...
16/04/2026

"YAANI INANIPA MUONEKANO JAMANI..."

​Haya ni maneno halisi ya mteja wetu baada ya kutumia bidhaa zetu kwa wiki mbili tu! Hakuna kitu kinachotupa furaha k**a kuona mteja anaanza kupata muonekano aliouhitaji. Kuanza kufurahia mavazi yake na kujiamini zaidi.

​✅ BIDHAA ASILI: Bidhaa hizi zimeundwa kurutubisha mwili wako kiasili na kutoa matokeo yanayoonekana.

✅ HUDUMA YA UAMINIFU: Mikoani kote unalipia mzigo wako wakati wa kupokea

​Anza safari yako leo ili na wewe ufurahie muonekano wako mpya.

​💥 Bonyeza link kwenye BIO kuja WhatsApp kufahamu zaidi

Soda au chai isiwe mbadala wa maji, kunywa maji ya kutosha cherie!
15/04/2026

Soda au chai isiwe mbadala wa maji, kunywa maji ya kutosha cherie!

Ukila tunda zima, unapata faida zaidi kuliko kunywa juice yake.Juice ipunguzwe matumizi, isiwe ya kila siku
13/04/2026

Ukila tunda zima, unapata faida zaidi kuliko kunywa juice yake.

Juice ipunguzwe matumizi, isiwe ya kila siku

10/04/2026

Utofauti kwenye lishe ni afya!

Address


59122

Opening Hours

Monday 05:00 - 22:00
Tuesday 05:00 - 22:00
Wednesday 05:00 - 22:00
Thursday 05:00 - 22:00
Friday 05:00 - 22:00
Saturday 05:00 - 22:00
Sunday 05:00 - 22:00

Telephone

+255624525440

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bidhaa asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share