OTV Media Tanzania

OTV Media Tanzania OTV Media ni chanzo cha habari za uhakika na za haraka kutoka Tanzania na dunia.

Tunakuletea matukio, siasa, jamii na maendeleo kila siku kwa usahihi na uaminifu. Fuata ukurasa wetu usipitwe na habari muhimu. +255788707434 | [email protected] πŸ“ΊπŸ“°

NGUMU KUAMINI.. NIMEFIWA NA MKE WANGU.
16/07/2025

NGUMU KUAMINI.. NIMEFIWA NA MKE WANGU.

MIAKA 20 JELA KWA KOSA LA KUIBA MALI YA UMMA.Ezbon Mujuni (28) Mkazi wa kijiji cha Bunazi Wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kag...
16/07/2025

MIAKA 20 JELA KWA KOSA LA KUIBA MALI YA UMMA.

Ezbon Mujuni (28) Mkazi wa kijiji cha Bunazi Wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera amehukumiwa kwenda jela miaka 20 kwa kosa la kuchimba na kuiba nguzo (3) za umeme na nyaya zenye thamani ya Tsh.11,536,357/=.11,536,357/=.

Mshtakiwa alitenda kosa hilo tarehe Julai 21,2024 katika kijiji cha Nyakahama Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera na kukamatwa na Jeshi la Polisi na kufikishwa Mahakamani Disemba 20,2024.Hukumu imetolewa Julai 15, 2025 mbele ya Mhe.Daniel Nyamkerya Hakimu wa Mahakama ya Wilayaya Muleba.

Address

Manyara

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OTV Media Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category