Manyoni Tv

Manyoni Tv Online media News.

26/04/2025

UPO MANYONI SEHEMU GANI TUTAMBUANE?

Mamia ya wananchi wa kata ya Sasilo wajitokeza kwenye mkutano wa maendeleo ya kata huku wakimkaribisha mwenyekiti ya CCM...
17/04/2025

Mamia ya wananchi wa kata ya Sasilo wajitokeza kwenye mkutano wa maendeleo ya kata huku wakimkaribisha mwenyekiti ya CCM Manyoni.

Habari PichaMaadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yaliyofanyika Leo katika viwanja vya Jumbe Halmashauri ya Wilay...
04/03/2025

Habari Picha
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yaliyofanyika Leo katika viwanja vya Jumbe Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni.

Kauli mbiu " Wanawake na Wasichana 2025 Tuimarishe Haki Usawa na Uwezeshaji πŸ‡ΉπŸ‡ΏβœοΈ

 : Chama cha Mapinduzi CCM Taifa kimemteua, Ndugu Stephen Wasira, kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara na  hii ndio nyomi ...
18/01/2025

: Chama cha Mapinduzi CCM Taifa kimemteua, Ndugu Stephen Wasira, kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara na hii ndio nyomi ya wajumbe walioshiriki uchaguzi.

Muonekano wa majengo ya Shule ya Sekondari Solya iliyopo Halmashauri ya Willaya ya Manyoni. Shule hii ni ya wasichana.
09/01/2025

Muonekano wa majengo ya Shule ya Sekondari Solya iliyopo Halmashauri ya Willaya ya Manyoni. Shule hii ni ya wasichana.

DKT CHAYA,MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI  AKABIDHI  GARI LA WAGONJWA KITUO CHA AFYA NKONKO,MANYONI DCLeo,Mhe Mbunge wa Jimb...
09/01/2025

DKT CHAYA,MBUNGE WA MANYONI MASHARIKI AKABIDHI GARI LA WAGONJWA KITUO CHA AFYA NKONKO,MANYONI DC

Leo,Mhe Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki amekabidhi Gari la Wagonjwa jipya lililotolewa na Mhe RAIS Dkt SAMIA SULUHU HASSAN kwa Mhe Diwani wa Kata ya Nkonko ili akawakabidhi wananchi wa Tarafa ya Nkonko. Dkt Chaya ameyafanya haya katika Hospitali ya Wilaya ya Manyoni leo mbele ya Wagonjwa,Wananchi na Wahudumu wa Afya.

Dkt Chaya amempongeza sanaa Mhe Rais Dkt SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuendelea kutoa fedha nyingi katika Jimbo la Manyoni Mashariki.

Happy New Year.
31/12/2024

Happy New Year.

26/11/2024
  Tarehe 5 Julai 2024 jimbo la Manyoni mashariki litapokea mwenge wa uhuru ukitokea wilaya ya Bahi mkoa wa Dodoma.Manyon...
03/07/2024

Tarehe 5 Julai 2024 jimbo la Manyoni mashariki litapokea mwenge wa uhuru ukitokea wilaya ya Bahi mkoa wa Dodoma.
Manyoni itakuwa wilaya ya kwanza mkoani Singida kupokea mwenge ukitokea Dodoma.Wananchi wote wa wilaya ya Manyoni mnakaribishwa kupokea mwenge wa uhuru.

Comment shule ya msingi uliyosoma tujuane......!!
02/07/2024

Comment shule ya msingi uliyosoma tujuane......!!

Mapokezi ya mwenge wa uhuru tarehe 5 Julai 2024
13/06/2024

Mapokezi ya mwenge wa uhuru tarehe 5 Julai 2024

Kila la kheri timu ya Taifa  kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Zambia.   πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ🏽
11/06/2024

Kila la kheri timu ya Taifa kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Zambia. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ🏽

Address

Manyoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manyoni Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Manyoni Tv:

Share

Category