AYANA Citizen Tv

AYANA Citizen Tv AYANA CITIZEN TV – From powerful headlines to untold African stories. Follow Us Now.

AYANA CITIZEN TV FRIDAY 7TH  NOVEMBER  - FULL EPISODE
06/11/2025

AYANA CITIZEN TV FRIDAY 7TH NOVEMBER - FULL EPISODE

AYANA CITIZEN TV FRIDAY 7TH NOVEMBER - FULL EPISODE

Get tonight's episode 》》》 www.princeupdates.co.ke
05/11/2025

Get tonight's episode 》》》 www.princeupdates.co.ke

After Chris's heart-to-heart with Dr. Robert, he finds Jemimah in tears. Can they mend their broken bond? 💔✨ What will it take for their love to survive? Stay tuned for the emotional twists ahead! 💞🤔

Catch tonight's episode of 'Ayana' here >>>> www.princeupdates.co.ke

AYANA CITIZEN TV THURSDAY 6TH  NOVEMBER  - FULL EPISODE
05/11/2025

AYANA CITIZEN TV THURSDAY 6TH NOVEMBER - FULL EPISODE

AYANA CITIZEN TV THURSDAY 6TH NOVEMBER - FULL EPISODE

04/11/2025

𝐀𝐘𝐀𝐍𝐀 𝟓𝐓𝐇 𝐍𝐎𝐕 𝐒𝟎𝟏𝐄𝐏𝟎𝟏𝟖 𝐖𝐑𝐈𝐓𝐓𝐄𝐍 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Utasahau tena kuweka LIKE kweli?

Follow AYANA Citizen Tv

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Jemimah alimuwarn Selina akamwambia sikiza msichana,achana na bwanangu na hii ni mara ya kwanza na ya mwisho kukuwarn ole wako nikupate na yeye,lakini Selina akaambia Jemimah sikiza, be worried of your husband and find out why she is cheating on you. Jemima akataka tena kukachapa lakini punde si punde, Sabina akafika.

Sabina akaambia Jemimah,mbona tusisolve hii yote k**a tumeketi lakini Jemimah anaambia Sabina wee pia nyamaza, mama mgani unaacha mtoto wako anatembea na bwana ya wenyewe? Kumbe Robert pia ndio anafika,akaambia Jemimah please, lets go home,as for Sabina she will talk to Celestine. Selina nako mdomo hakanyamazi kanasema unaongelea bwana as if hata uko na bwana 🤣🤣🤣Haka katoto haka..na wako na bahati sana Tyran hajajua whats going on...kungeumana.

Sabina baadaye alikuja akauliza Selina whats wrong with you,just because ulipata Y kwa exam haimaanishi ufikisie k**a short waya lakini Selina anaambia mamake,hakuna kitu mbaya nikidate married man,kwanza iam not dating married man iam dating Chris and Iam getting love na tunapendana na yeye sana. 'pigwa kofi' 😂😂😂Selina alikapiga kofi.

Sabina akauliza Selina,unadate na Chris yes,what of Mathew? Huoni ni too much kutembea na wanaume chungu nzima? Tyran alisikia conversation akakuja kuuliza whats up? Wote wawili wakajifanya wametulia na hakuna kitu ju wanajua,hii simba ikijua whats going on,huku hakutakalika 😂😂😂

Robert alijaribu kuconvince Jemimah wakarudi nyumbani akamuongeleshe na huyoo Robert akatoka. Kufika nje,wakakutana na Chris. Chris akamuuliza haya,beshte yangu mwenye niliachia deni,naona unatoka kwangu hope umeongea na sister yako? Robert kwanza akatoa miwani,akaambia Chris sikiza, you may think wewe ndio kusema sahii but time will come and you will pay for everything..hujui what you are doing. Chris yeye hajali,ana pesa ana mke na ako na Selina ajali nini sasa 😂😂😂hajui analala na mtoto wa Robert,ambaye ni Selina.

Woiye Jemimah,ako kwa room analia amelia na anaendelea tu kulia. Chris alikuja akampata analia lakini anajali? Hajali yeye. Punde si punde, akapigiwa simu na nani? Celle Mtumba 😂😂😂

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Kuna koti la Mathew Asha ako nalo. Selina alimuona nayo,akamuuliza,mbona hii inakaa familiar? Asha akamwambia ni ya Mathew..Selina akamwambia woow,so huchelewi wewe,already ushaanza kukaa na koti yake? Asha akamwambia si venye unafikiria but Selina akamwambia yoh,just because I wasnt around doesnt means you take over my man lakini Asha akamwambia aje? "he is not my type" 😂😂😂

Huh! Tyran wakati aliamka,akaamsha Sabina akamuuliza, jana usiku nikija huku ,ulikuwa wapi na mbona hukuniambia? Kumbuka Sabina alikua na Robert kwa room wakisamasault...Sabina na yeye akaamua kudanganya akasema I was with my friend. Tyran akamuuliza which friend? Sabina akamwambia come on,huwezi wajuwa wote...lakini Tyran akamwambia I know all your friends..nimeuliza which friend? Sabina akamention marafiki majina funny funny akidhani maybe itamnyamazisha Tyran 😂😂😂ndio ilimuamsha.

Tyran akamuuliza,what of Celestine,ni nini unanificha? Sabina akajua mara moja kimeanza kunuka😂😂alijiexplain,akajiexplain but Tyran akamwambia sijakuzoea wewe kunificha siri,lakini sikuhizi now you do😂😂

Kumbe sasa,enyewe wanawake ni manyoks..yule yule beshte wa Jemimah,guess alikuja akameet nani? Chris..mbon wakameet,ni ju Chris alimuongelesha aongee na Jemimah arudi nyumbani. Leo hii Chris akamwambia sasa,nataka you make Jemimah sasa asahau na Selina and ukifanya hivyo, hizi ni elfu sitini,ukicheza kiwewe nakuongeza zingine 😂😂😂

Mitchelle yeye ndio aliset Chris kwa Jemimah na sai yeye ndio anatumika kuhakikisha Jemimah anasahau na Selina and she is being paid for that 😂😂😂does Jemimah know that? NO

Sabina still anafall up kuhakikisha Tyran asijue anything na Robert alimwambia usijali,iam her father and I will make sure I secure my daughter;s future..she is my daughter,and she is my responsibility... punde si punde,kumbe Tyran alisikia..lakini kwa bahati ya Mungu alisikia tu Rober akisema "she is my daughter" hakusikia ni daughter mgani Robert anasema. Tyran akauliza haya beshte yangu,kwani you have a daughter mwenye sijui na venye wewe ni rafiki yangu😂😂😂

Mitchelle ashalipwa,alikuja kuambia Jemimah aachane tu na Celestine afocus kwa bwanake. Jemimah sasa anaona enyewe Mitchelle k**a beshte anaongea point tupu hana habari ni kuingizwa box anaingizwa 🥲🥲🥲

Shindwe!

AYANA CITIZEN TV WEDNESDAY 5TH  NOVEMBER  - FULL EPISODE
04/11/2025

AYANA CITIZEN TV WEDNESDAY 5TH NOVEMBER - FULL EPISODE

AYANA CITIZEN TV WEDNESDAY 5TH NOVEMBER - FULL EPISODE

04/11/2025

𝐀𝐘𝐀𝐍𝐀 𝟒𝐓𝐇 𝐍𝐎𝐕 𝐒𝟎𝟏𝐄𝐏𝟎𝟏𝟕 𝐖𝐑𝐈𝐓𝐓𝐄𝐍 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Usisahau kuweka LIKE mkuu...na kufollow AYANA Citizen Tv

And remember unaweza watch ayana kwa website yetu
www.princeupdates.co.ke

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Asha alikuja akauliza mamake,kwani ukafanyia nini huyo mwanamke mum? Saida akamwambia zii,mimi sikutaka tu atufukuze,akaanza maneno. Asha akamwambia na iwapo tufukuzwe sasa? Saida akamwambia relax Aisha,babako haezi tufukuza na hii njama sijaanza leo..Asha akamuuliza unamaanisha nini mum? Saida akamwambia sikiza, wakati nilijua babako ni tajiri,nilifanya jambo na lazima hii mali pia sisi tule.

Saida akaambia Asha sikiza,ile siku nikiwa mgonjwa,huo usiku,tukatoka nikapelekwa hosi,hakuna ugonjwa nilikua nao, I planned everything 😂😂😂nilifanya hivyo ndio nipewe muda zaidi.🤣🤣🤣🤣Saida....mambo ndio hayo.

Punde si punde, Robert akakuja akaambia Sabina,we need to talk right now. Amejam ju Selina alimwambia atafute mtoto ndio ampe advice 🤣🤣🤣Sabina aliambiwa hivyo akashindwa sana mbona amuongeleshe hivyo akaona aende kumuongelesha but Robert akamwambia go easy on her,she is our daughter 🤣🤣🤣

Tufike kwa Jemimah,amelia sana na beshte yake ako hapo anampea motisha akamwambia guess what babes, huyo msichana yafaa akuonje pia..si alionja bwanako,yafaa pia aonje mkono wako,umpee beating safi sana 🤣🤣🤣Jemimah,,,kazi kwako sasa. Selina,uchunge,,huyu ni Jemimah na anakuanga wazimu,mbaya makosa.

Sabina alikuja kwa Selina tena,akamwambia mbona unaonyeshana kiburi mtoto wewe,advice pia unakataa? Sabina aliambia Celestine sikiza, kuanzia leo,Robert ni umsikize k**a babako,na unasahau umekua unaplay na bwana ya sister yake ng'ombe haka? Siana isi...

Punde si punde, Mathew akafika 🤣🤣na hakua ameitwa. Kumbuka ilikua waende out but Selina akaambia Mathew leo sitamake kuenda na wewe maybe siku ingine kuna kitu iam trying to sort out. Mathew aliheartbreakiwa sana,akaambia Selina unasahau I reserved na hatarefund? Selina akamwambia pesa si shida,k**a unaworry kuhusu refund, I will sort it out...

Mathew alisinywa sana,hadi akasema aende tu nyumbani alale,lakini cheki,nik**a drama nik**a video,Asha alisikia kila kitu,na wakati Selina ameenda akauliza Mathew,kuliko pesa zako ziende bure mbona basi usiende na mimi? Mimi na wewe,twende niingie pahali Selina angeingia 🤣🤣🤣Mathew akaona enyewe hii pia ni idea safi,akafanya makosa,akakubali..wah! Makosa.

Na hivi ndio pia dem ya Jamal nilifanyanga,nikajipata nimeenda na yeye out,sai Jamal ako single 🤣🤣🤣

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Chris na Robert hatimaye walimeet ,kisha Chris akaambia Robert,by the way unakumbuka deni langu,umekaa nayo sana,nilikukopesha 15million right? Robert akamwambia najua nimekaa nayo but I will pay,can we talk kitu ilituleta hapa? Chris akamwambia relax,sijasema nahitaji hiyo hata nishakuachia usinilipe. Robert akaona wah! Asante bwana 🤣🤣🤣

Chris akamwambia kuhusu ile issue ya sister yako,unajua ni kawaida ya wanaume,na hata wewe najua uko na kadem pahali but usijali,utacheza kiwewe 🤣🤣🤣Robert akamwambia unajua Jemimah ananipressure ati niambie Tyran kuhusu Celestine... lakini punde si punde, wakasikia nini "Celestine amefanya nini",kumbe Chris alikua amemuita Celestine hapa...Robert alishtuka sana kumuona Celestine.

Chris akaambia Selina usishtuke,Robert ni boys wangu na atahakikisha anaongea na sister yake amdanganya tuliacha kumeet na sisi tutakua tunameet bila wasiwasi. Robert amejam,akiimagine huyu ni mtoto wake,na Chris ni bwana ya sister yake lakini shida na makosa ni,haezi fanya kitu kwa nini? Kwa sababu,haifai kujulikana ati alilala na Sabina wakapata Selina na pili,Chris amemsamahe deni la 15million,so hapa Chris ndio kusema na akikohoa, Robert anaitika 🤣🤣🤣

Woiye Robert 🥲🥲

Mathew na Asha washafika out.

Tyran na yeye kufika nyumbani,Saida ndio ako tu,akauliza na watu wako wapi,Selina,Asha,bibi yangu? Saida akamwambia Asha ameenda out na Mathew ju Selina alikataa na Sabina sijui ameenda wapi.

Ungeshindwa sana Sabina ameenda wapi,lakini ukweli wa mambo ni, Sabina amekuja out,wakatafuta room na Robert,nakuambia kile kitu walifanya kwa ile room,ilibidi wasee wa camera an director wazima camera ju ile kumbao...ama acha tu but all in all they had good time together 🤣🤣🤣 Ona Chris hadi kumbao haijaisha ndio anafunga funga mshipi 🤣🤣🤣

Baadaye Robert akakuja direct hadi kwa Jemimah lakini kufika,Jemimah hayuko,na Chris hajafika. Robert akamcall Jemimah,,akamuuliza yoh uko wapi? Jemimah akamwambia this is my fight Robert,naenda kwa Tyran tudeal with that girl myself. Robert akajua mara moja kimeumana.

Asha kasharudi nyumbani kaliletwa na Mathew na kalienjoy sana hadi kakaona wueh,huyu Mathew,siezi mind kumpea..makosa ikawa Saida akaona 🤣🤣🤣

Jemimah alishafika kwa Tyran kwa gate,ni aingie ndani adeal na Selina.

Huku ndani nakwo, Saida alikuja akapata Asha,akamwambia naona umeanzana na Mathew? Asha akamwambia zii,nilimuonea tu huruma venye Selina alimkataa...Saida akamuuliza na kiss nimeona mkikisiana 🤣🤣🤣🤣

Kumbe Chris na yeye,alimleta Selina hadi kwa gate,wakaongea kiasi hapo gate na huyoo Selina akaongia ndani. Hawana habari huko ndani Jemimah ako huku na amewaka mbaya sana ni bahati tu maid amemzuia kuingia ndani. Wacha Jemimah ageuke amuona Selina,akaanza kumuita majina mbaya mbaya..Selina akamuuliza wewe nawe ndio nani? Jemimah akamwambia umekua unalala na bwana yangu hujui najua wewe fala hii..Jemimah akaamua kumslap Selina lakini kakofi kalishikiwa kwa hewa 🤣🤣🤣kumbe Selina pia hapana machezo bwana 🤣🤣🤣woiye
Hebu tungoje kesho tuone venye haka kavita kaliisha....

Meanwhile all episodes iko kwa website

https://princeupdates.co.ke/

AYANA CITIZEN TV TUESDAY 4TH  NOVEMBER  - FULL EPISODE | www.princeupdates.co.ke
03/11/2025

AYANA CITIZEN TV TUESDAY 4TH NOVEMBER - FULL EPISODE | www.princeupdates.co.ke

Ayana citizen tv Tuesday 4th November full episode

Address

Masaki

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AYANA Citizen Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category