Dems media

Dems media Dems Media | Habari & Burudani
Tunakuletea yaliyopo mitaani
DM kwa matangazo & ushirikiano

19/08/2026
19/08/2026

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa agizo kali kwa madereva wa mabasi kuwa lazima wapakie na kushusha abiria katika kituo cha mabasi cha Magufuli pekee, akisema atakayekaidi atakamatwa na kufikishwa mahakamani. Ameeleza kuwa alishatoa muda wa wiki moja kwa utekelezaji na sasa muda huo umekwisha.

Alitoa msisitizo huu katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na wafanyabiashara wadogo wadogo, wakiwemo mama lishe, machinga, madereva wa bodaboda na bajaji, pamoja na mawakala wa mabasi ya safari za mikoani na nchi jirani.

Wabunge na viongozi wengine wa eneo hilo wameunga mkono agizo hilo. Anjela Kairuki, Mbunge wa Kibamba na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, amesema hatua hiyo inaenzi uwekezaji wa serikali na inatoa fursa kwa wafanyabiashara wadogo. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando, amesisitiza kuendelea kusimamia utekelezaji wake, huku Meya wa Manispaa ya Ubungo, Laurance Mlaki, akithibitisha kuwa halmashauri na baraza la madiwani wanaunga mkono mpango huo, akisema eneo hilo lina nafasi ya kutosha kwa ofisi na maegesho.

19/08/2026

Wale wazee wa kukopa alafu hawalipi mitandao ya sim kisa hawatofuatwa na polisi kudaiwa soma hili hapa,

Amenyimwa mkopo wa bilioni mbili sababu ya deni la elfu nne lililochukuliwa kwenye mtandao wa sim

19/08/2026

Ibenge kwa anachokifanya pale Azam Fc kwa Yanga Sc wangesha mfukuza muda mrefu : david molinga

18/08/2026

Huwezi mkuta mtu mwenye akili saa sita usiku club

18/08/2026

Nishaeahi kupigwa na soko zima la kariakoo, kwa sasa nimeokoka namshukuru Mungu : Dotto Magari

🎥 manaratv

FT : Yanga sc 1 - 0 Simba sc Ngao ya jamiiYoung Africans sc wameendeleza ubabe wao mbele ya simba sc kwenye ngao ya jami...
12/08/2026

FT : Yanga sc 1 - 0 Simba sc Ngao ya jamii

Young Africans sc wameendeleza ubabe wao mbele ya simba sc kwenye ngao ya jamii

Nani mchezaji wako bora kwenye mechi hii??

11/08/2026

Hans raphael anasema yanga sc bado hawaja malizana na simba sc kuna surprise nyingine kubwa tu ya mchezaji mwingine kunyakuliwa na kupewa jezi namba 17 baada ya kufanya umafia wakumchukua selemani mwalimu gomez bado hawajamaliza

🎥 hans raphael

Address

Masaki

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dems media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share