Kyela Fm Radio

Kyela Fm Radio Kyela Fm Radio Official Facebook Account
96.1 MHZ 📻
Sauti Yako, Mafanikio Yako.

MWENYEKITI wa CHADEMA, Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala ya Dar es S...
22/09/2025

MWENYEKITI wa CHADEMA, Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala ya Dar es Salaam), amewataja mashahidi wake katika kesi hiyo.

➡️ Akitaja majina, Lissu amesema miongoni mwa mashahidi wake ni:
1️⃣ Rais Samia Suluhu Hassan
2️⃣ Makamu wa Rais Philip Mpango
3️⃣ Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
4️⃣ IGP Camillus Wambura
5️⃣ DCI Ramadhani Kingai
6️⃣ Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa
7️⃣ DCP Ramadhani Ng’anzi
8️⃣ Agather Atuhaire (Kampala)
9️⃣ Boniface Mwangi (Nairobi)
🔟 John Marwa (Jambo TV)
1️⃣1️⃣ Amani Sam Golugwa (Naibu Katibu Mkuu CHADEMA)
1️⃣2️⃣ John Heche (Makamu Mwenyekiti CHADEMA)
1️⃣3️⃣ John Mnyika (Katibu Mkuu CHADEMA)
1️⃣4️⃣ Dr. W***y Mutunga (Kenya)
1️⃣5️⃣ Martha Karua (Kenya)

🗣️ Lissu ameongeza kuwa anahifadhi haki ya kuwaita mashahidi wa ziada endapo itahitajika.

Tukio Halisi la Nane Nane Mbeya!Leo tuko kwenye Viwanja vya John Mwakangale, tumetembelea mabanda mbalimbali na kuzungum...
08/08/2025

Tukio Halisi la Nane Nane Mbeya!
Leo tuko kwenye Viwanja vya John Mwakangale, tumetembelea mabanda mbalimbali na kuzungumza na wakulima, wajasiriamali na watu wengine wa kilimo. 🌽🥕

Tazama uzuri wa mazao, uvumbuzi na ari ya wakulima wetu kule mashambani.

Kabla ya kusahau…

Ni ipi banda lililokuvutia zaidi?

Umepata maoni yoyote mazuri kuhusu kilimo au bidhaa zinazodaiwa? Share nasi!

🌾🌱🌽KHERI YA SIKUKUU YA NANE NANETarehe 8 Agosti 2025
08/08/2025

🌾🌱🌽
KHERI YA SIKUKUU YA NANE NANE
Tarehe 8 Agosti 2025

TBT ya kijanja ushuwani tuna dondoka na  akituambia yapi ambayo yapo kwenye   na sisi hatuyajui hanayomuhusu yeye live k...
07/08/2025

TBT ya kijanja ushuwani tuna dondoka na akituambia yapi ambayo yapo kwenye na sisi hatuyajui hanayomuhusu yeye live kabisaa tunaileta kwenu segment ya kijanja kupitia pindi bora kabisa nyanda za juu kusini

wakubwa wakishua wanakupitishia hili





Dondosha Comment yako hapo ✍️ Tutapita nayo Kwenye   Host:  With  .Show kwa hewa 02:00-05:00 Jioni.
28/07/2025

Dondosha Comment yako hapo ✍️ Tutapita nayo Kwenye

Host: With .

Show kwa hewa 02:00-05:00 Jioni.

24/07/2025

IPONJOLA ARE YOU READY?



Shangwe la Kitaa Season Two linaendelea kwa kishindo💥Safari hii tunatua Tukuyu Iponjola, ambapo kutakuwa na bonanza la m...
23/07/2025

Shangwe la Kitaa Season Two linaendelea kwa kishindo💥
Safari hii tunatua Tukuyu Iponjola, ambapo kutakuwa na bonanza la mechi kali ya kuvutia

🏆 Wachezaji wanaocheza Ligi Kuu Tanzania watapambana na Timu ya Nyota FC kutoka Tukuyu katika pambano la aina yake!

🗓️ 25/07/2025
📍 Location: Tukuyu – Iponjola

Njoo ushuhudie burudani, michezo, na shangwe zisizo na kifani.

Ungana nasi katika matangazo ya moja kwa moja kutoka katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mbeya Jiji kwenye uzinduzi wa opar...
23/03/2025

Ungana nasi katika matangazo ya moja kwa moja kutoka katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mbeya Jiji kwenye uzinduzi wa oparesheni ya ''No reform', No Election'' ambapo mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu.
96.1 MHz MBEYA| SONGWE | NJOMBE
Kutizama Live YouTube Bonyeza Link hapo chini 👇👇


Ungana nasi katika matangazo ya moja kwa mja kutoka katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mbeya Jiji kwenye uzinduzi wa oparesheni ya ''No reform'm, No Election''...

Mbivu na mbichi juu ya kuvuliwa uanachama kwa Katibu mwenezi na Wanachama wengine watano wa Chama Cha Demokrasia  CHADEM...
17/03/2025

Mbivu na mbichi juu ya kuvuliwa uanachama kwa Katibu mwenezi na Wanachama wengine watano wa Chama Cha Demokrasia CHADEMA wilaya ya Kyela kujulikana Leo March 17,2025.

Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kyela Victoria Swebe tupo nae hapa ndani ya la Asubuhi

HOST:
| Mwalwembe


📌
26/02/2025

📌

Address

Kyela
Mbeya
600

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kyela Fm Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kyela Fm Radio:

Shortcuts

Share