Nizersport news

Nizersport news Sports news

Kiungo Paul lamire Pogba amefanikiwa kujiunga na vibibi ya Turin Juventus baada ya maliza makataba wake Manchester unite...
23/06/2022

Kiungo Paul lamire Pogba amefanikiwa kujiunga na vibibi ya Turin Juventus baada ya maliza makataba wake Manchester united

Confirmed: Habib Kyombo amejiunga na Singida Big Stars
21/06/2022

Confirmed: Habib Kyombo amejiunga na Singida Big Stars

Zawadi za Nbc Premier League 2021/22 1. Bingwa | Tsh milioni 6002. Mshindi wa 2 | Tsh milioni 3003. Mshindi wa 3 | Tsh m...
09/06/2022

Zawadi za Nbc Premier League 2021/22

1. Bingwa | Tsh milioni 600
2. Mshindi wa 2 | Tsh milioni 300
3. Mshindi wa 3 | Tsh milioni 255

Bingwa wa Nbc Premier League msimu huu atapokea kiasi cha Tsh. milioni 600.○ Bonusi ya Azam TV Tsh. milioni 500.○ Zawadi...
09/06/2022

Bingwa wa Nbc Premier League msimu huu atapokea kiasi cha Tsh. milioni 600.

○ Bonusi ya Azam TV Tsh. milioni 500.
○ Zawadi ya mdhamini mkuu (NBC) Tsh. milioni 100

Muonekano wa Kombe Jipya la Nbc Premier League kuanzia msimu 2021/22.
09/06/2022

Muonekano wa Kombe Jipya la Nbc Premier League kuanzia msimu 2021/22.

Mwenye nacho huwa anaongezewa .!! Real Madrid na Monaco wamefikia makubaliano ya uhamisho wa kiungo wa kimataifa wa Ufar...
07/06/2022

Mwenye nacho huwa anaongezewa .!!

Real Madrid na Monaco wamefikia makubaliano ya uhamisho wa kiungo wa kimataifa wa Ufaransa Aurelien Tchouameni kwa dau linalofika Euro Milioni 100

✍🏻PSG walishaingilia kati hili dili lakini nia ya mchezaji kucheza Real Madrid iliwaondoa PSG kwenye meza ya mazungumzo

✍🏻Liverpool nao walishafanya mawasiliano na Monaco kuhusu mchezaji lakini uimara wa Real Madrid kwenye nia yao hasa baada ya kumkosa Kylian Mbappe imefanikisha dili la kiungo huyo .

Tetesi: Beki wa kushoto wa Simba SC Gadiel Michael kutua Singida Big Stars kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Simba SC.
07/06/2022

Tetesi: Beki wa kushoto wa Simba SC Gadiel Michael kutua Singida Big Stars kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Simba SC.

CAF yafikilia kurudisha fainali ya klabu bingwa kuchezwa nyumbani na ugenini k**a mwanzo ilivyo kua
04/06/2022

CAF yafikilia kurudisha fainali ya klabu bingwa kuchezwa nyumbani na ugenini k**a mwanzo ilivyo kua

Sadio Mane Leo baada ya kufunga hat trick kwenye mchezo zidi ya BENIN amefikisha magoli 32 katika timu ya taifa na kua m...
04/06/2022

Sadio Mane Leo baada ya kufunga hat trick kwenye mchezo zidi ya BENIN amefikisha magoli 32 katika timu ya taifa na kua mfungaji Bora wa muda wote wa timu ya taifa ya Senegal akimpiku Henri Camara mweny magoli 31

OFFICIAL| Carlos Tevez ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 38.
04/06/2022

OFFICIAL| Carlos Tevez ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 38.

Nchi zinazo wania kuandaa  AFCON 2027:Tanzania🇹🇿Morocco🇲🇦Senegal🇸🇳Zambia🇿🇲Burkina Faso🇧🇫Botswana/Namibia🇧🇼🇳🇦
04/06/2022

Nchi zinazo wania kuandaa AFCON 2027:

Tanzania🇹🇿
Morocco🇲🇦
Senegal🇸🇳
Zambia🇿🇲
Burkina Faso🇧🇫
Botswana/Namibia🇧🇼🇳🇦

🚨 CAF imevijulisha vyama vyote wanachama kuwa wana hadi tarehe 30 Juni kuhakikisha wanawasilisha majina ya vilabu na wac...
04/06/2022

🚨 CAF imevijulisha vyama vyote wanachama kuwa wana hadi tarehe 30 Juni kuhakikisha wanawasilisha majina ya vilabu na wachezaji waliosajiliwa kwa ajili ya kushiriki Mashindano ya Vilabu Afrika kwa ajili ya kampeni ya 2022/23

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nizersport news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nizersport news:

Share