Dalali kyomo

Dalali kyomo dalali kyomo

NYUMBA INAUZWA – MLOWO! SONGWE 📍 Eneo: Karibu na Kiwanda cha Full Dose, Mlowo🏠 Maelezo:✅ Ina wapangaji 8 – unapata kipat...
09/03/2025

NYUMBA INAUZWA – MLOWO! SONGWE

📍 Eneo: Karibu na Kiwanda cha Full Dose, Mlowo
🏠 Maelezo:
✅ Ina wapangaji 8 – unapata kipato mara moja!
✅ Ina fremu za biashara mbele – biashara tayari ipo!
✅ Eneo kubwa sana – nafasi ya kupanua au kuwekeza zaidi!
💰 Bei: Milioni 30 tu!

📞 Piga/SMS: 0753522023



UNAUZA NYUMBA, UWANJA, GARI AU BAJAJI?
🔥 Nitafute! Mimi ni dalali mbobevu – nakuletea mteja fasta!
UNAHITAJI KUNUNUA? Nicheki, nakupatia mali yenye thamani bora!

👉 Fanya maamuzi sasa – nafasi hazidumu!

Uwanja una uzwa upo mlowo stend mpya una weza jenga ata godaun million 8.5 call 0753522023
15/01/2025

Uwanja una uzwa upo mlowo stend mpya una weza jenga ata godaun million 8.5 call 0753522023

TOUCH, RELEASE, and ATTACK...gusa achia twend kwao kushambulia" ni mechi ya kimtego sana ambayo inawahitaji yang matokeo...
04/01/2025

TOUCH, RELEASE, and ATTACK...gusa achia twend kwao kushambulia" ni mechi ya kimtego sana ambayo inawahitaji yang matokeo ya aina moja pekee nayo n USHINDI.

wachambuzi wameshachambua vya kutosha nguvu na udhaifu wa tim zote mbili,,,,cc k**a watanzania tunasimama na yanga"

NOTE"million 10 ya goli la mama msimu huu ktk makundi imekuwa chungu kwa wananch"

TOYOTA IST ON SALECC 1290CLEAN&interiorFull acFull document📜Bei 7.8 ml✅Call/ WhatsApp 0753522023Dodoma🏙
24/11/2024

TOYOTA IST ON SALE
CC 1290
CLEAN&interior
Full ac
Full document📜

Bei 7.8 ml✅
Call/ WhatsApp 0753522023
Dodoma🏙

Fuso engn sixteen million 27 ipo songwe call/ WhatsApp 0753522023
24/11/2024

Fuso engn sixteen million 27 ipo songwe call/ WhatsApp 0753522023

Bajaji Nzuli sana ipo mbeya mjini Bei poa Mill 3.6 call and WhatsApp 0753522023
24/11/2024

Bajaji Nzuli sana ipo mbeya mjini Bei poa Mill 3.6 call and WhatsApp 0753522023

30/09/2024

🤣🤣🤣TULIENI, FISTON MAYELE HANA SHIDA YOYOTE NA YANGA wala Rais Eng. Hersi Said, acheni maneno🤣🤣

Mayele ametoa Comment yake kuhusu Ligi kuu ya Tanzania🔥🔥🔥🔥

Mwamba huyu anayekichafua Pyramids FC ya Misri amefika Chamazi kushuhudia chama lake la zamani Yanga likiibanjua 1-0 KMC.

Full Video ipo channel ya
🎤Mtangazaji ni
📷Camera:


📺👏🏾Chaneli ya powered by .co.tz

🔥🔥🤣🤣LEO Tsh. 50,000/= inadondoka kutokea .co.tz kwa BINGWA atakayetabiri kwa usahihi kwa Pamoja MATOKEO ya MWISHO ya hiz...
29/09/2024

🔥🔥🤣🤣LEO Tsh. 50,000/= inadondoka kutokea .co.tz kwa BINGWA atakayetabiri kwa usahihi kwa Pamoja MATOKEO ya MWISHO ya hizi GAME 2.👇

1-DODOMA JIJI 🆚 SIMBA.
2-YANGA 🆚 KMC.

VIGEZO NA MASHARTI.

-Hakikisha Umetabiri Matokeo ya MWISHO ya Mechi zote Mbili.

-Uwe UME-FOLLOW page ya .co.tz .co.tz

-Wa KWANZA kutabiri kwa USAHIHI na KU-TAG Washkaji zake WATANO (5) ndiye atakuwa MSHINDI.

NB: MATOKEO ya 0-0 LEO yanahesabika k**a kawaida.🤣🤣.

📌UTABIRI utafungwa SAA 12:30 JIONI Baada ya Game ya KWANZA kuanza.

Twende kazi Watu wangu, Ni WIKIENDI ya MAOKOTO kutoka .co.tz.😀😀

28/09/2024

Zanzibar finest na magoli wakiteta jambo

LEO, katika NBC Premier League  ni  , Azam FC wanakipiga na  Simba SC katika dimba la New Amaan Complex.Mchezo huu utapi...
26/09/2024

LEO, katika NBC Premier League ni , Azam FC wanakipiga na Simba SC katika dimba la New Amaan Complex.

Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 2:30 usiku na kuruka mbashara kupitia

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu

Address

Ilembo
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dalali kyomo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dalali kyomo:

Share