Chap chap News

Chap chap News Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chap chap News, Media/News Company, Mbeya.

22/03/2026

Mtoto mwenye Balaa Tazama Alivomgeuzageuza mtu MPAKA akakubali shoo

22/03/2026

Tazama.Balaa La Luis Diaz Huko Bayern Munich

21/03/2026

Tazama Kosa kubwa Alilolifanya Refarii kwa timu ya Manchester United, Kawanyima penalty Man United Kwa Kosa Lile lile Aliloyoa Kadi nyekundu na kuwapa penalty Bournemouth

21/03/2026

Mtazame Nickson kibabage Akifunguka Kuhusu Mchezo wao wa kesho dhidi ya TRA United kwa naiaba ya wachezaji wenzake.

21/03/2026

LAMINE YAMAL VS NEWCASTLE kaka anawapeleka sana

Zifahamu NCHI zinazoongoza kuwa na Mabilionea wengi DunianiNCHI ya kwanza hadi ya mwisho
21/03/2026

Zifahamu NCHI zinazoongoza kuwa na Mabilionea wengi Duniani
NCHI ya kwanza hadi ya mwisho

Barcelona wapindua meza Msimamo ligi Ya Mabingwa UEFA
21/03/2026

Barcelona wapindua meza Msimamo ligi Ya Mabingwa UEFA

21/03/2026

MAAJABU: Tazama Magoli yote manne Ndani ya Dakika ishirini Bournemouth vs Man United

UNAOUONAJE USAJILI HUU WA MAGUIREManchester United Wameamua Kumuongeza Mkataba Beki wao Kitasa Harry Maguire.Makubaliano...
21/03/2026

UNAOUONAJE USAJILI HUU WA MAGUIRE
Manchester United Wameamua Kumuongeza Mkataba Beki wao Kitasa Harry Maguire.
Makubaliano yashafanyika Kaa pande zote mbili Na Harry Maguire amekubali kuongeza Mkataba ili kuendelea Kuitumikia Man United. Mkataba wasasa Utatamatika Mwezi wa sita(June) 2026. Mkataba Mpya Utatamatika June 2027 Huku kukiwa na kipengele cha kuongeza hadi June 2028

Manchester United Hawajalizishwa Na Maamuzi Ya Refarii Kutokuwapa Penalty Kocha Mkuu Michael Carrick Na Bruno Fernandes ...
21/03/2026

Manchester United Hawajalizishwa Na Maamuzi Ya Refarii Kutokuwapa Penalty Kocha Mkuu Michael Carrick Na Bruno Fernandes timu Kapteni Wafunguka haya

Bruno Fernandes (nahodha):
"Ninajua ni vigumu kwa refa kutoa penalti mbili kwa timu moja katika mechi moja... lakini sielewi kwa nini faulo moja ni penalti na nyingine siyo. Pia, kwa nini VAR haikusahihisha uamuzi huo?"

Michael Carrick:
"Refa ametupa penalti moja kwa kushikwa kwa mikono miwili... lakini ya pili kwa Amad hakutoa. Ilikuwa karibu sawa kabisa. Kwangu mimi, ni penalti mbili katika wakati muhimu. Inashangaza... Ina changanya na Ni la ajabu."

Kocha (meneja):
"Siwezi kuelewa kabisa."

Address

Mbeya
MBEYAMJINI

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chap chap News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share