10/05/2026
Happy mother’s day Mama yangu, Mungu akupe umri mrefu zaidi.
Happy mother’s day kwa wamama wote Mungu awape hitaji la mioyo yenu, na kwa wale waliotangulia mbele ya haki mpumzike kwa amani 🙏🏾🙏🏾🙏🏾