16/08/2026
Tunatoa pongezi kwa wale wanaoshiriki kwenye hizi tour zinazoandaliwa na viongozi wa hili group la
YANGA MBEYA TOURS GROUP kwa malengo ya kuisapot timu yetu tunawakalibisha na wengine kwenye hii FAMILIA Ya YANGA MBEYA TOUR Pia tunawashukuru wale wote wanaotuunga mkono kwenye hizi safari.
Haya ndio matunda hii Mnayoiona ni TUZO ILIOTOLEWA NA YANGA MAKAO MAKUU KWA KUTAMBUA MCHANGO WETU katika safari tuzofanya kwa ajili ya kuisapot timu yetu.
MWAKANI ๐ฐ ๐ฐ TENA MWAKA HUU๐ฐ๐ฐ TUMEDHAMILIA
DAIMA MBELE๐ฐ๐ฐ๐ฐ NYUMA MWIKO.