Happy birthday boss
MUNGU akupe umri mrefu wenye kheri
Mafanikio tele
Inshallah 2025 uzidi kuwa juu zaidi๐
Cc
22/05/2025
!
Ikiwa imepita takribani miaka 22 tangu filamu ya girlfriend itoke leo hii kwa sisi wapenzi na watafiliaji wa soko la filamu nchini Tanzania tunaitazama ni filamu hii k**a mbegu ya mafanikio ya tasnia ya filamu nchini
". Filamu ya girlfriend ilitoka rasmi mwaka 2003 chini ambaya iliandikwa na mwandishi mwindishi mashuhuri sultan tamba na kuongozwa na marehemu George Tyson wasambazaji wa filamu hii walifahamika k**a GMCย wasanii promoters moja kati ya kampuni kubwa ya usambazaji wa filamu kipindi hicho"
Filamu ya girlfriend ilifanikiwa kuwakutanisha mastaa wakubwa kipindi hicho ambao walikua wanafanya vzr kwenye Game ya bongo hapa Tunamzungumzia Ambwene yessaya
Vvonne cherry "
jaymore na mwadada Beatrice moris almaafu k**a Nina aliyejizolea umaarufu
Kupitia tamthilia mbalimbali za kaole
Director wa filamu ya Girlfriend marehemu Geogre Tyson alifanikiwa kwa ukubwa kutengeneza muunganiko kati wasanii wa kuimba na waigizaji na kufanya filamu hiyo kuwa filamu pendwa nchini na nje ya Tanzania wengi tulinunua VHS na hii filamu
Watoto wa 2000 hawezi kuelewa
Ambapo k**a ingekuwa ni kipindi hiki na kwa nguvu ya social media basi Girlfriend ingebust All over the world
Miaka mingi imepita sasa tangu filamu hii itoke kwa nionavyo mimi filamu ilipanda mbegu kubwa ya mafanikio ya soko la tamthilia na filamu nchini Tanzania!!
Ebu tuambie wakati filamu hiii inatoka
Ulikua wapiiii
Be the first to know and let us send you an email when INNO presenter posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.