
29/09/2025
K**a zitatumika takwimu kumpata mvp wa ligi msimu wa 2024/2025 kati ya pacome na ahoua basi takwimu zinambeba zaidi pacome twende kwenye uchambuzi wa takwimu
๐Pacome zou Zoua
mechi 25
Magoli 12 (2 penalt, 10 open play)
assist 10
Jumla G/A 22
dakika alizocheza 1628
G/A kwa dakika. kila baada ya dakika 74
anahusika moja kwa moja na goli
man of the match (MoM) 9
๐Ahoua charles
mechi 28
magoli 16 (6 penalt, 10 open play)
assist 9
jumla G/A 25
dakika alizocheza 2081
G/A kila baada ya dakika 83
alihusika moja kwa moja na goli
Man of the match 5
hat trick 1
ULINGANISHO
1. ufanisi (Efficiency )
Pacome G/A kila dakika 74 ni bora zaidi
Ahuoa G/A kila dakika 83 ni bado bora ila siyo zaidi ya Pacome
2. Uthabiti wa kuamua mechi
Pacome MoM mara 9
ameonekana zaidi k**a game changer
Ahuoa MoM mara 5
3. ubora wa magori
Pacome Magoli mengi ya open play (10/12)
Ahoua magoli 10 ya open play lakini pia penalty 6 penalti ni muhimu lakini mara nyingi uchukuliwa kuwa ni rahisi zaidi
4 Ubunifu kwa michango kwa wenzake
Pacome 10 assist
Ahoua 9 assist
5 jumla ya magoli
Ahoua 16
Pacome 12
๐hitimisho MVP wa ligi
Ingawa Ahoua ana magoli mengi zaidi (16 vs 12) Pacome anabaki na faida kubwa
ana game involvement bora zaidi ( G/A kila baada ya dakika 74)
ameibuka man of the match mara 9 ( zaidi ya mara mbili ya ahoua )
amechangia magoli mengi zaidi kwa pasi ( assist 10)
uthibiti wake wa kubadilisha mechi na kuwa na "impact kubwa" kwa timu inamfanya avutie zaidi k**a MVP
Ameisaidia timu yake kubeba ubingwa wa ligi kuu 2024/ 2025
Kwa takwimu hizi zinamfanya Pacome kuwa mvp wa ligi
Kitu ambacho Ahoua kumzidi Pacome kwenye hizo takwimu ni idadi ya magoli tu ila takwimu zingine zote kazidiwa na pacome
follow
On Instagram