09/01/2026
Wakati Azam wanamsajili Huyu jamaa, wachambuzi tuliwananga sana. Ila jamaa anachokifanya kwenye hizi mechi anazocheza ni ๐ฅ, kamakawaida yake utaondoa kila kitu kwenye game yake ila upambanaji huwezi kuutoa.
Amemlazimisha Ibenge awe anambadirishia tuu partner kwenye lile eneo la kiungo mkabaji lakini nafasi yake ipo pale. Moja kati ya wachezaji bora wa Azam tangu msimu uanze kwenye michuano yote.
Kiukweli japo Himid ana Umri mkubwa lakini nishati aliyonayo anaweza akacheza kwa misimu kadhaa mbele bila shida yoyote, kwasababu ya aina ya mashindano ambayo yapo hapa ndani. STILL A TOP PLAYER ๐.