Michezo Site

Michezo Site NEWS

04/06/2025

๐Ÿง  Wasifu wa George Mpole kutoka ndondo za Uyole na Mwenge mpaka ligi kuuJina kamili: George Enock Mpole MwaigomoleTarehe...
04/06/2025

๐Ÿง  Wasifu wa George Mpole kutoka ndondo za Uyole na Mwenge mpaka ligi kuu

Jina kamili: George Enock Mpole Mwaigomole

Tarehe ya kuzaliwa: Julai 27, 1998

Mahali alipozaliwa: Mbeya, Tanzania

Nafasi: Mshambuliaji (Centre-Forward)

---

Vilabu Aliyochezea

Kimondo Fc

Majimaji Fc

Mbeya City Fc

Geita Gold FC

FC Saint-ร‰loi Lupopo (DR Congo)

Pamba Jiji FC (Tanzania)

---

Mafanikio Makuu

Mfungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2021/2022 akiwa Geita Gold FC, alifunga mabao 17. Akimzidi Fiston Kalala Mayele mfungaji bora wa Africa kwa sasa

Alifanikiwa kuipeleka Geita Gold kwenye mashindano ya CAF kwa mara ya kwanza.

Amecheza kwa Taifa Stars, akionyesha uwezo wake katika mechi za kimataifa.

---

Safari ya Kitaifa na Kimataifa

Mpole alianza kuonyesha kiwango chake Geita Gold, ndipo alipovutia na kujiunga na FC Saint-ร‰loi Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na baadaye akarudi Tanzania kutokana na kushindwa kuonesha uwezo wake huko Congo na kurudi kuichezea Pamba Jiji FC.

๐ŸŽ™Mshambuliaji wa Kikosi cha ASEC Mimosas Celestine Ecue ana nafasi kubwa sana msimu huu kushinda Tuzo ya Mchezaji bora w...
03/06/2025

๐ŸŽ™Mshambuliaji wa Kikosi cha ASEC Mimosas Celestine Ecue ana nafasi kubwa sana msimu huu kushinda Tuzo ya Mchezaji bora wa ligi kuu Nchini humo Nchini Ivory coast.

Mchezaji huyo ananamba mzuri kwenye ligi mpaka wakati huu akiwa na Mabao 13 kwenye ligi pasi za mabao 10... Naomba nikukumbushe katika msimu mitatu iliyopita wachezaji waliofanikiwa kushinda Tuzo ya uchezaji bora baadhi wapo Nchini Tanzania wanakipiga.

๐Ÿ‘ Azizi KI 2021 - 22 [MVP]
๐Ÿ‘ Pacome Zouzoua 2022 - 23 [MVP]
๐Ÿ‘ Jean Charles Ahoua 2023 - 24 [MVP]

SHINGO K**A   ILA NGOJA TUSUBIRIAMESHAPEWA WELCOME
03/06/2025

SHINGO K**A ILA NGOJA TUSUBIRI
AMESHAPEWA WELCOME

๐Ÿšจ๐Ÿ˜ฒ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†!!  ๐Ÿ’ฃ๐—™๐—ฟ๐—ฒ๐—ป๐—ธ๐—ถ๐—ฒ ๐—ฑ๐—ฒ ๐—๐—ผ๐—ป๐—ด ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—™๐—– ๐—•๐—ฎ๐—ฟ๐—ฐ๐—ฒ๐—น๐—ผ๐—ป๐—ฎ! ๐Ÿ”ต๐Ÿ”ด โœจkiungo huyo wa ...
03/06/2025

๐Ÿšจ๐Ÿ˜ฒ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†!!
๐Ÿ’ฃ๐—™๐—ฟ๐—ฒ๐—ป๐—ธ๐—ถ๐—ฒ ๐—ฑ๐—ฒ ๐—๐—ผ๐—ป๐—ด ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—™๐—– ๐—•๐—ฎ๐—ฟ๐—ฐ๐—ฒ๐—น๐—ผ๐—ป๐—ฎ! ๐Ÿ”ต๐Ÿ”ด
โœจkiungo huyo wa kimataifa wa Uholanzi ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ anapanga ๐—ธ๐˜‚๐˜ƒ๐˜‚๐—ป๐—ท๐—ฎ mkataba na wakala wake wa sasa kwa lengo la kuharakisha mazungumzo ya kusaini ๐—บ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ mpya ndani ya kikosi cha Barcelona.๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘

Kwa mujibu wa ripoti kutoka ๐—๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐˜๐—ฒ๐˜€, Frenkie anataka mustakabali wake utatuliwe mapema kabla ya msimu mpya kuanza, huku nia yake kuu ikiwa ni kuendelea ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฎ kwenye klabu hiyo ya ๐—–๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—น๐—ผ๐—ป๐—ถ๐—ฎ. ๐Ÿ”โœ๏ธ


Mwanadada mrembo Clara luvanga mchezaji wa timu ya wanawake TanzaniaAmeupiga mwingi mno
03/06/2025

Mwanadada mrembo Clara luvanga mchezaji wa timu ya wanawake Tanzania
Ameupiga mwingi mno

๐Ÿšจ๐Ÿ”ต ๐„๐—๐‚๐‹๐”๐’๐ˆ๐•๐„!!  ๐Ÿ’ฃManchester City yaelekea ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ฎ na Tijjani Reijnders  kutoka AC Milan ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น... ...klabu hizo mbili sas...
03/06/2025

๐Ÿšจ๐Ÿ”ต ๐„๐—๐‚๐‹๐”๐’๐ˆ๐•๐„!!
๐Ÿ’ฃManchester City yaelekea ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ฎ na Tijjani Reijnders kutoka AC Milan ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น...
...klabu hizo mbili sasa zipo kwenye ๐—บ๐—ฎ๐˜‡๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‡๐—ผ ya moja kwa moja huku mchakato wa kukamilisha ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ukiwa umefika hatua za mwisho.
๐Ÿ’™Man City wana matumaini makubwa ya ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ท๐˜‚๐—บ๐˜‚๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ kiungo huyo wa timu ya taifa ya Uholanzi ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ kwenye kikosi chao kabla ya kuanza kwa ๐—ž๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—น๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐—ž๐—น๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐—น๐—ฎ ๐—™๐—œ๐—™๐—” ๐ŸŒ๐Ÿ†
โœ… Tayari Reijnders amekubaliana mahitaji binafsi na Man City โ€” kinachosubiriwa sasa ni kufunga ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ rasmiโ€ฆ ๐Ÿ‘€๐Ÿ–Š๏ธโœจ๐Ÿ‘


  Takwimu za magolikipa wetu kwa msimu huu uliomalizikaHashimu - Clean Sheet 12Mechi 27Akitokea Mbeya kwanza na Clean sh...
03/06/2025


Takwimu za magolikipa wetu kwa msimu huu uliomalizika

Hashimu - Clean Sheet 12
Mechi 27
Akitokea Mbeya kwanza na Clean sheet 5, huku Mbeya City akipata Clean Sheet 22

Sudi - Clean Sheet 07
Mechi 13

Nelson- Clean Sheet 01
Mechi 04
Huyu ni kijana wetu kutoka kikosi cha U20

MCHEZO UMELIZIKA PALE CHUNYA KWA STONE CITY KUPATA USHINDI LIGI BADO IPO MZUNGUKO WA KWANZA HATUA YA MAKUNDI LEO ILIKUA ...
03/06/2025

MCHEZO UMELIZIKA PALE CHUNYA KWA STONE CITY KUPATA USHINDI LIGI BADO IPO MZUNGUKO WA KWANZA HATUA YA MAKUNDI LEO ILIKUA KUNDI C MATCH YA KWANZA....

Makala ya Mudathir Abdallah Said โ€“ Mshambuliaji wa Mbeya City FCWasifu BinafsiJina kamili: Mudathir Abdallah SaidMwaka w...
03/06/2025

Makala ya Mudathir Abdallah Said โ€“ Mshambuliaji wa Mbeya City FC

Wasifu Binafsi

Jina kamili: Mudathir Abdallah Said

Mwaka wa kuzaliwa: 1996

Umri: Miaka 28 (kufikia 2025)

Uraia: Mtanzania

Nafasi uwanjani: Mshambuliaji (Attacker)

Vilabu alivyowahi kuchezea: Coastal Union, Tanzania Prisons,Ihefu Mbeya City FC

Uwanja wa nyumbani: Uwanja wa Sokoine, Mbeya

Safari ya Soka

Mudathir Abdallah Said ni mchezaji wa soka kutoka Tanzania anayejulikana kwa uwezo wake wa kucheza k**a mshambuliaji. Alianza safari yake ya soka katika klabu ya Coastal Union kisha kwenda Ihefu ya Mbarali, ambapo alionyesha uwezo mkubwa wa kufunga magoli. Katika msimu wa 2020/2021, alifunga magoli 4 katika mechi 3, na katika msimu wa 2019/2020, alifunga magoli 2 katika mechi 2.

Mnamo Januari 2022, Mudathir alijiunga na klabu ya Tanzania Prisons k**a mchezaji huru. Katika msimu wa 2022/2023 wa Ligi Kuu ya Tanzania, alicheza mechi 9, akianza mechi 8 kati ya hizo, lakini hakuweza kufunga goli lolote katika dakika 280 alizocheza.

Kwa sasa, Mudathir anachezea klabu ya Mbeya City FC. Katika msimu wa 2024/2025, alifunga goli moja katika mechi moja ya Kombe la Shirikisho (Federation Cup) dhidi ya Simba

Uchezaji na Mchango Uwanjani

Mudathir anajulikana kwa kasi yake, uwezo wa kupenya kwenye safu ya ulinzi ya wapinzani, na uwezo wa kufunga magoli. Uwezo wake wa kucheza k**a mshambuliaji umemfanya kuwa mchezaji muhimu katika klabu anazochezea.

Hitimisho

Mudathir Abdallah Said ni mchezaji mwenye kipaji na uzoefu katika soka la Tanzania. Kwa sasa akiwa Mbeya City FC, anaendelea kuonyesha uwezo wake na kuchangia mafanikio ya timu. Mashabiki wa soka wanatarajia kuona mchango wake mkubwa katika mechi zijazo.

Kwa mujibu wa Transfer Marketโ€ฆ! Simba ndio timu yenye bajeti ndogo zaidi kuingia TOP 10 Afrika! Simba bajeti yao ni mara...
02/06/2025

Kwa mujibu wa Transfer Marketโ€ฆ!

Simba ndio timu yenye bajeti ndogo zaidi kuingia TOP 10 Afrika!

Simba bajeti yao ni mara 21.8 ya bajeti ya Al Ahly๐Ÿ˜€

Wapo nafasi ya 5 barani Afrika alama 1 juu ya Pyramids na alama 5 nyuma ya RSB Berkane aliyepo nafasi ya 4.

Alama hizi ni baada ya fainali ya jana โœ๏ธ

Al Ahly anaendelea kuongoza!

Guysโ€ฆ! SAJILINI MSIMU UJAO KUGUMU SANA CAF CL

Address

Mbeya

Telephone

+255747506166

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo Site posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Michezo Site:

Share