OTD Ock

OTD Ock Welcome OTD Ock Official page. Label From East Africa.

🏋️♥️ Eno P 4 44
15/07/2026

🏋️♥️ Eno P 4 44

Out Now All Digital platform
04/04/2026

Out Now All Digital platform




  Today Midnight
03/04/2026

Today Midnight



Hizi Ndizo Kulasa Za Kitabu Chetu Cha  by me  Apo Hakuna Kulasa Hata Moja Ilio Wai Kutoka Zote Ni Mpya.April 4 Album hii...
21/03/2026

Hizi Ndizo Kulasa Za Kitabu Chetu Cha
by me
Apo Hakuna Kulasa Hata Moja Ilio Wai Kutoka Zote Ni Mpya.
April 4 Album hii Itapatkina Kila Sehem World Wide.
Shukrani Za Dhati Kwa Producers Wote Walio Husika Kutengeneza Album Hii.
Na Wasanii Wenzangu Walio Kubali Kunishika Mkono Nilipo Omba Ushilikiano Wao.
Bila Kusahau OTD Ock Uongozi Wangu Ulio Wekeza Kwangu Na Kukubali Kutoa bless Zote🙏.
Heshima Kwake Muhusika Mkuu Mwenye Jina la Album Benitho Nyudula Huyu Ndo Alikua Mwanzo Wa Wazo Langu La Kutoa Album Na Kuita Jina Lake Pia Kausika Kwenye Safari Yangu Ya Music Respect Kwake.
Ukiacha Wote / Vyote Mungu Ndie muweza Wa Kila Kitu Thanks Jah 4 This Time Atimae Nakamilisha Wazo Langu La Siku nyingi 🙏

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OTD Ock posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category