DGMI TV

DGMI TV DGMI tv

04/08/2025
04/08/2025
04/08/2025
Ebr. 4:12Biblia inasema neno la Mungu lina nguvu. Ebr. 4:12, “Maana neno la Mungu li hai tena lina nguvu, tena lina ukal...
15/07/2025

Ebr. 4:12
Biblia inasema neno la Mungu lina nguvu. Ebr. 4:12, “Maana neno la Mungu li hai tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.”

Waebrania 4:12-13 Neno la Mungu ni hai na lina nguvu; …Neno hilo huchambua nia na fikira za mioyo ya watu. Hakuna kiumbe...
15/07/2025

Waebrania 4:12-13 Neno la Mungu ni hai na lina nguvu; …
Neno hilo huchambua nia na fikira za mioyo ya watu. Hakuna kiumbe chochote kilichofichika mbele ya Mungu; kila kitu kimefunuliwa wazi mbele ya macho yake yeye ambaye kwake tutapaswa kutoa hoja ya matendo yetu.

14/04/2025

Dakika 5 za NGUVU ZA KUIOMBEA NCHI YA TANZANIA

Zaburi 31:24 - " Iweni hodari, na moyo wenu uwe hodari, ninyi nyote mnaomngojea Bwana." Isaya 41:10 - "Usiogope, kwa maa...
10/03/2025

Zaburi 31:24 - " Iweni hodari, na moyo wenu uwe hodari, ninyi nyote mnaomngojea Bwana." Isaya 41:10 - "Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu."

Address

Mbeya Ituha
Mbeya
53121

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DGMI TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category