12/10/2025
ππ NUKUU YA LEO π π
πβ¬β¬β¬β¬ΰΉΫ©Ϋ©ΰΉβ¬β¬β¬β¬π
πβ¬β¬β¬β¬ΰΉΫ©Ϋ©ΰΉβ¬β¬β¬β¬π
ββ *"Usione Aibu Kazi Inayokulisha β Watu Unaowaogopa Hawatakusaidia"*
ββKazi ya halali, hata k**a ni ndogo machoni pa watu, *ni heshima kubwa*.
ββUsikubali aibu ikuzuie kufanya kazi inayokupa riziki. Usiogope kejeli wala dharau
ββkwani hao unaowaogopa hawatakununulia chakula, hawatalipa kodi yako, wala kukusaidia ndoto zako.
ββWatu wanaokusema leo, ndo hao hao kesho ukifanikiwa watakusifu
ββLakini mafanikio hayo huanza pale unapochagua kujikaza bila kujali maneno ya watu.
ββNi bora uchekwe ukijituma kuliko kuchekwa ukiwa hujafanya chochote.
*_All The Best_* Ibrah Tz π