Kusini Digital

Kusini Digital HABARI; TUNATOA HUDUMA YA USIMAMIZI WA MATUKIO NA UZALISHAJI MAHUDHUI (CONTENT & EVENTS MANAGEMENT)

WELCOME  SONGEA
26/04/2026

WELCOME

SONGEA

26/04/2026

 "Nevertheless... Hatuwezi kuacha kusema mwanetu! Lile dili mi ningefanya poa kabisa na asilimia yako ungepata; ungesema...
10/04/2026


"Nevertheless...
Hatuwezi kuacha kusema mwanetu!
Lile dili mi ningefanya poa kabisa na asilimia yako ungepata; ungesema!
Mbona uwezo wangu unaujua.

Kunjua nafsi mwanetu, kwenye vyumba vya fursa tusemee vizuri na sisi tupate, moyo wa shukrani tunao na fadhila tunalipa. Kidogo chetu tupo tayari wale na wenzetu.

Ona sasa, uling'ang'ania kufanya mwenyewe peke yako na muda ulijua kabisa hautoshi, kazi umeiharibu kwa kuogopa kwamba tukifanya na sie kwako fungu lingepungua...ebo!

Mwanetu, kwa hiyo k**a ukivyosema kwambayhutaki yeyote unayemfahamu apate nafasi hapo kazini kwako ili ukirudi huku bush utambe wewe ndio chief...
Basi bwana...

Mwanetu
Wote kupata inawezekana
Na
Wote kupoteza inawezekana...
Ila fungu gani hapo limenona?
Ndio swali la Leo...."
_Nasibu Maps✍🏿
Kusini Digital


 "De FactoHatuna chochote... Usijisumbue kuturogaUsipoteze wivu wako bure,Si ulienda shule?Hatuna popote Kusema tutatamb...
10/04/2026


"De Facto
Hatuna chochote... Usijisumbue kuturoga
Usipoteze wivu wako bure,
Si ulienda shule?

Hatuna popote
Kusema tutatambia pale
Hatuna yeyote
Kusema tunajivunia yule...

Tupo k**a tulivyo
Ila tunapotoka umaridadi lazima,
Zile picha za hotel na vacation?
Tunajipoza tu maumivu ya mabega kwa mazito tuliyobeba...

Na hata zile glass cheers ni kutimiza tu andiko!
Yakuwa wapeni masikini pombe wasahau zao shida...
Ila daaah!

Mwanetu...
Unatupania sana, unajiumiza, unakunja, unaweka husda penye hakuna....
Unaziba, unakandia

Hata hicho kidogo chenyewe Sisi hatuna
Hatutaziba njia zako
Basi nawe usizibe njia zetu...

Hii dunia inatutosha wote!
Karibu sana Yova..."
_Nasibu Maps ✍🏿

Kusini Digital



 🛖🤎 Kunyumba kwitu✨🙏✨
22/03/2026

🛖🤎
Kunyumba kwitu

✨🙏✨

 Mwisho wa wiki... Majani hutembelea nduguze na marafiki...
22/03/2026


Mwisho wa wiki... Majani hutembelea nduguze na marafiki...



🎂🎂Thank you, Lord, My God and Creator for granting me another year in life. I humbly surrender my heart and plans to You...
01/03/2026

🎂🎂
Thank you, Lord, My God and Creator for granting me another year in life. I humbly surrender my heart and plans to You and pray for your guidance in this new chapter...
‎Amen

‎Happy birthday to me
‎The Gentleman of Yova
____________________________
‎Asante, Ee Bwana, Mungu wangu na Muumba wangu kwa kunijaalia mwaka mwingine wa maisha.
Ninausalimisha moyo wangu na mipango yangu kwako kwa unyenyekevu na ninakuomba mwongozo wako katika kurasa hii mpya ...
‎Amina

‎Heri ya kuzaliwa kwangu
‎Muungwana wa YOVA
_MC Nasibu Maps ✍️

Kusini Digital

God above everything
27/02/2026

God above everything

 The afternoon show was massive... Sports Event MC14/February was outstanding Then I raised a curtain for a brother at N...
17/02/2026


The afternoon show was massive... Sports Event MC
14/February was outstanding
Then I raised a curtain for a brother at Night Event!
Smooth floor!
Mbinga DC Corporate Event...
Mbinga DC Mall

Ahsante sana kwa kutuamini kwa shughuli yenu ya kuanza mwaka kuanzia Bonanza Asubuhi hadi party ya usiku

MC David Mapunda
MC Nasibu Mapunda
🙏🔥🙏

 The afternoon show was massive... Sports Event MCThen I raised a curtain for a brother at Night Event! Smooth floor!Mbi...
17/02/2026


The afternoon show was massive... Sports Event MC

Then I raised a curtain for a brother at Night Event!
Smooth floor!
Mbinga DC Corporate Event...
Mbinga DC Mall

Ahsante sana kwa kutuamini kwa shughuli yenu ya kuanza mwaka kuanzia Bonanza Asubuhi hadi party ya usiku

MC David Mapunda
MC Nasibu Mapunda
🙏🔥🙏

Address

Mbinga Mjini
Mbinga

Telephone

+255748128623

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kusini Digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kusini Digital:

Shortcuts

Share