04/10/2025
hii ndio TANZANIA
Tupo hapa TAZARA DARESALAM siku ya tatu sasa tukisubiri usafiri wa TREN, Na mpa sasa hakuna anayejua hatima yake,
kumbuka Kuna wamama, watoto, wajawzito, wagonjwa, vikongwe vijana, wanaonyonyesha NK
na HAKUNA MSAADA WOWOTE