BrayB News

BrayB News
⚽ Apdate Za Kimichezo
⚽Ndani Ya Nchi Na Nje Ya nchi

Nuno Alexander Tavares Mendes ni mchezaji mzuri sana na anajua kukaba na kuzuia wachezaji wengi wenye ubora lakini sio k...
30/06/2025

Nuno Alexander Tavares Mendes ni mchezaji mzuri sana na anajua kukaba na kuzuia wachezaji wengi wenye ubora lakini sio kw Lionel Andres Messi The GOAT 🐐.

Msimu uliomalizika kwenye mashindano ya UEFA champions league Nuno Mendes alizuia wachezaji k**a Mo Salah wasifanye Dribbling hata moja lakini mbele ya Messi alifanyiwa dribble tatu na hakuweza kumzuia Kwa lolote.

PSG waliifunga Inter Miami CF lakini hakuna alieweza kumfanya Messi asicheze k**a tunavyomjua, alicheza na alifanya mambo mengi makubwa, wachezaji wenzake wa Inter Miami CF ndio salimuangusha.

FOLLOW US.

Ndio mlisema Doue ni bora kuliko hii mali? 😂 Sababu pekee ya kutopewa Ballon D’or ni kufuta tuzo zisiwepo
06/06/2025

Ndio mlisema Doue ni bora kuliko hii mali? 😂 Sababu pekee ya kutopewa Ballon D’or ni kufuta tuzo zisiwepo

🚨 OFFICIAL FINAL UEFA NATIONS LEAGUE June 8🏟 22:00 - Portugal 🇵🇹  ⚔️ Spain 🇪🇸
05/06/2025

🚨 OFFICIAL FINAL UEFA NATIONS LEAGUE June 8

🏟 22:00 - Portugal 🇵🇹 ⚔️ Spain 🇪🇸

🚨 Lamine Yamal ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Mchezo Nusu UEFA Nations League Vs France .
05/06/2025

🚨 Lamine Yamal ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Mchezo Nusu UEFA Nations League Vs France .

✍️Lamine Yamal beki wote wa kushoto kawatesa msimu huu sasa hili bato la Nuno Mendes wengi tulikuwa tunalisubiri kwa ham...
05/06/2025

✍️Lamine Yamal beki wote wa kushoto kawatesa msimu huu sasa hili bato la Nuno Mendes wengi tulikuwa tunalisubiri kwa hamu tuone k**a na yeye atamtesa k**a alivyowatesa kina Theo.🔥💣

KUTOKA MITANDAONI
09/02/2025

KUTOKA MITANDAONI

ALLY KAMWE: DUBE ALIKUWA ANAROGWA NA YULE EX WAKE😂.
10/11/2024

ALLY KAMWE: DUBE ALIKUWA ANAROGWA NA YULE EX WAKE😂.

🚨...||𝗔𝗭𝗔𝗠 𝗛𝗜𝗜 𝗡𝗜 𝗣𝗥𝗢𝗣𝗔𝗚𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗠𝗡𝗔𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗡𝗭𝗜𝗦𝗛𝗔Nimevumilia Nimeshindwa Kwakweli😮‍💨Ila Azam Kwan Mna Nia Gan Na yanga😭Iko ...
09/11/2024

🚨...||𝗔𝗭𝗔𝗠 𝗛𝗜𝗜 𝗡𝗜 𝗣𝗥𝗢𝗣𝗔𝗚𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗠𝗡𝗔𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗡𝗭𝗜𝗦𝗛𝗔

Nimevumilia Nimeshindwa Kwakweli😮‍💨Ila Azam Kwan Mna Nia Gan Na yanga😭Iko wap Siri kati yenu Na Wateja Wenu🥵

Inachekesha sana huu Mjadala wa sindano.

Na ukitaka kujua hii ni Ajenda Maalum ya ‘Azam FC’ kutaka kuichafua BRAND ya YANGA kwa kutengeneza Propaganda za Kipuuzi, Fatilia hizi hoja hapa chini

1: Ile Video imetolewa na inaonekana ni baada ya mechi, Yani mtendaji wa Azam akifanya usafi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.

2:Ni video ya Lini? Mechi gani? Hakuna Taarifa hii, Hata mpuuzi mmoja aliyesambaza hakuweka huu ujinga hakutoa hizi Taarifa Kinachoonekana pale na kufanya wapuuzi wengi kuihusisha yanga ni chupa za maji za GSM, Tujiulize hapa

3:Ni Timu ngapi za Ligi Kuu zinatumia Maji ya GSM? Ni Yanga pekee wanaodhaminiwa na GSM ndio wamecheza pale, kwanini Yanga?

4:Mtu akiwaza kwamba hapa pia kuna Vita ya Kibiashara kati ya GSM WATER NA MAJI YA UHAI? kutakuwa na Tatizo? Huyu mfanya usafi wa Azam anaweza kuwa amechukua chupa za maji ya GSM kwa ajili ya kuichafua Brand ya GSM na Yanga kwa ujumla?

5:Sio kwamba Azam wanatengeneza hii michezo ya kitoto na kurekodi video kisha kuzisambaza?

Ishu nyingine ni zile sindano.

Kuna haja gani ya Timu kuwa na madaktari k**a sindano zinaonekana tatizo?

Wachezaji wakiumia hawatibiwi? Zile Ambulance ni za nini pia k**a huduma ya afya ya wachezaji ni tatizo. Huu ni Upuuzi sana.

Zile sindano pale kwenye video zimeonekana ni mbili, k**a ni ajenda ya kuongeza nguvu, ndio Yanga wawaongeze nguvu wachezaji wawili tu? Au Sindano wameshare??

Tuacheni Propaganda za Kipuuzi, Tuchezeni mpira.

Mwisho, Yanga wawe macho sana na Azam .. Wanaweza kuonekana ni watu wema kwa kanzu wanazovaa, kumbe moyoni ni Mashetani wenye malengo ya kuidhoofisha Yanga

🗣

🚨Jumbe mbalimbali za watu mashughuri walizosema kuhusu Lionel Messi hapo zamani wakimtabiria mengi🇳🇱 Johan Cruyff: "Asan...
17/10/2024

🚨Jumbe mbalimbali za watu mashughuri walizosema kuhusu Lionel Messi hapo zamani wakimtabiria mengi

🇳🇱 Johan Cruyff: "Asante Mungu kwamba Messi yupo."

🇵🇹 José Mourinho: "Messi ni Mungu wa Soka."

🇪🇦 Pep Guardiola: "Messi ndiye mchezaji bora wa muda wote."

🇨🇵 Arsène Wenger: "Mwanasoka Bora zaidi kuwahi kutokea? Lionel Messi."

🇦🇷 Diego Simeone: "Messi au Maradona? Nafikiri Messi ni bora zaidi."

🇮🇹 Fabio Capello: "Messi ndiye gwiji pekee katika soka la dunia. Kipindi chote."

🇩🇪 Jürgen Klopp: "Kwangu mimi, Messi daima atakuwa nambari 1 katika historia."

🇩🇪 Joachim Löw: "Lionel Messi ndiye mchezaji kamili zaidi kuwahi kumwona."

Yani YANGA hii itishiwe nyau na AL HILAL timu haichezi hata Ligi 😁😁😁😁😁Yanga kampiga Mazembe nje ndaniKampiga Mamelodi ny...
07/10/2024

Yani YANGA hii itishiwe nyau na AL HILAL timu haichezi hata Ligi 😁😁😁😁😁

Yanga kampiga Mazembe nje ndani
Kampiga Mamelodi nyumbani kwake
Kampiga USM ALGER nyumbani kwake
Kampiga Kaizer Chief Nyumbani Kwake
Kampiga Belouzidad k**a mtoto mdogo
Kampiga Simba k**a mtoto mdogo
Kampiga Azam k**a mtoto mdogo
Kampiga El Merreikh nje ndani
Al Ahly alitoa droo kwa mbinde

Alafu aje afungwe na AL HILAL???😁😁😁

Hili kundi AL HILAL atamchangia YANGA Point 6 yani atapigwa nje ndani k**a kasimama😁

Full time Adui Wa Ndugu Yako Ni Adui Yako Pia Kisasi Kimelipwa😂😂😂
28/07/2024

Full time Adui Wa Ndugu Yako Ni Adui Yako Pia Kisasi Kimelipwa😂😂😂

Address

Karasha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BrayB News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share