Rode Poultry

Rode Poultry Rode Poultry Farm ni Wafugaji na Wauzaji wa Kuku,Kuku wetu hutumia chakula cha asili bila matumizi ya Madawa

Malengo Yetu:
1. Kutoa Elimu Bora ya Ufugaji
3.

Kukuza uzalishaji wa kuku wa Kienyeji
2. Kuwapa wateja vyakula bora na vya Asili

Wahi Chapu usipitwe
21/03/2026

Wahi Chapu usipitwe

Mteja ambae alikuwa hajui chochote kuhusu ufugaji lakin tulimuhakikishia na kumuondoa hofu sasa ana subiri kuokota mayai...
17/03/2026

Mteja ambae alikuwa hajui chochote kuhusu ufugaji lakin tulimuhakikishia na kumuondoa hofu sasa ana subiri kuokota mayai Imagine zero to Kuokota mayia😀😀 Wewe unasubiri nini tena jamani

09/03/2026

Utaratibu wa Chanjo kwa Kuku.

28/02/2026

vitu ambavyo hutakiwi kufanya wakati ukiwa unawapa kuku Chanjo. yan kiufupi ni TAHADHARI ambazo unatakiwa uchukue Kipindi unawapa Kuku wako CHANJO na baada ya Kuzingatia hayo utakuwa sehemu salama muda wote.

23/02/2026

Njoo ujifunze Ufugaji wa Kuku

Address

Msamvu
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rode Poultry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share