Rode Poultry Farms

Rode Poultry Farms Rode Poultry Farm ni Wafugaji na Wauzaji wa Kuku wa Kienyeji Tu, Kuku wetu hutumia chakula cha asili bila matumizi ya Madawa

Malengo Yetu:
1.

Kukuza uzalishaji wa kuku wa Kienyeji
2. Kutoa Elimu Bora ya Ufugaji
3. Kuwapa wateja vyakula bora na vya Asili

07/09/2025

Tunaendelea na Leo Tupo sehemu ya 2

( MUUNDO WA BANDA BORA LA KUKU),

Endelea kunifatilia utajifunza Mengi sana hapa

na ukiyafanyia kazi yatakusaidia Shambani

kwakoFollow Me For More UPDATES 🧠📚✍️

VIP SOMO LINAELEWEKA ?

# kukukienyeji

With Jackrode Backeta – I'm on a streak! I've been a top fan for 5 months in a row. 🎉
01/09/2025

With Jackrode Backeta – I'm on a streak! I've been a top fan for 5 months in a row. 🎉

01/09/2025

Leo Tupo sehemu ya 3 ( MUUNDO WA BANDA

BORA LA KUKU), Hapa Nimezungunzia

kuhusu UELEKEO WA BANDA BORA LA KUKU.

Sikiliza kwa Makini utapata vitu vingi sana

Endelea kunifatilia utajifunza Mengi sana hapa

na ukiyafanyia kazi yatakusaidia Shambani

kwako

Follow Me For More UPDATES 🧠📚✍️

26/08/2025

Ujenzi wa Banda Bora ndio Msingi Mkubwa

wa Maendeleo ya Mradi wako wa Kuku,

Ukizingatia haya ninayo kueleza utaokoa Kuku

wako na Vifo kwa zaidi ya Asilimia 80.

Follow For More 🧠📚✍️

Msonde Msira #

26/08/2025

Jifunze sasa ujenzi wa Banda Bora ili Kuku

wako wawe Salama Muda wote na Uanze

kufurahia Ufugaji wako.

Endelea kunifatilia ili usifanye tena Makosa

kwenye Ujenzi wa Banda Bora.

Follow For More 🧠📚✍️

With Jackrode Backeta – I just got recognised as one of their top fans! 🎉
18/03/2025

With Jackrode Backeta – I just got recognised as one of their top fans! 🎉

08/03/2025

Thank You Almighty GOD🙏 # kukukienyeji kienyeji

Address

Msamvu
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rode Poultry Farms posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share