Rode Poultry Tanzania

Rode Poultry Tanzania Rode Poultry Tanzania Limited ni Kampuni iliyosajiliwa kwa Usajili wa Mlipa Kodi namba 202-994-563 ikijihusisha na Ufugaji wa Kuku na Utotoleshaji.

Karibu kwa Huduma za
1. Vifaranga vya Kuku( Broiler Chotara na Kienyeji
WhatApp Tupigie ☎️ +255771016770

Wahi Chapu usipitwe
21/03/2026

Wahi Chapu usipitwe

Mteja ambae alikuwa hajui chochote kuhusu ufugaji lakin tulimuhakikishia na kumuondoa hofu sasa ana subiri kuokota mayai...
17/03/2026

Mteja ambae alikuwa hajui chochote kuhusu ufugaji lakin tulimuhakikishia na kumuondoa hofu sasa ana subiri kuokota mayai Imagine zero to Kuokota mayia😀😀 Wewe unasubiri nini tena jamani

09/03/2026

Utaratibu wa Chanjo kwa Kuku.

28/02/2026

vitu ambavyo hutakiwi kufanya wakati ukiwa unawapa kuku Chanjo. yan kiufupi ni TAHADHARI ambazo unatakiwa uchukue Kipindi unawapa Kuku wako CHANJO na baada ya Kuzingatia hayo utakuwa sehemu salama muda wote.

23/02/2026

Njoo ujifunze Ufugaji wa Kuku

Address

Msamvu
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rode Poultry Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share