Jamii ya Marafiki Initiative

Jamii ya Marafiki Initiative Taasisi
✨Kuunganisha jamii,
✨Kuinua Mioyo,
✨kupambana na ukatili Kijinsia na Watoto
❤️ Tusaidie kufikia waliohitaji.

Jiunge nasi

Our Activities
https://taplink.cc/jamii

Mwaka 1950, Mwanamama aliyejaa upendo, huruma na kujitolea, alianzisha shirika la kimisionari pale Kalukata India, lilik...
05/09/2026

Mwaka 1950, Mwanamama aliyejaa upendo, huruma na kujitolea, alianzisha shirika la kimisionari pale Kalukata India, lilikuwa ni shirika la kuwasaidia wahitaji, Waishio katika mazingira magumu na watu wenye ukata mkubwa.

Mwanamama huyu alijtolea sana katika enzi za uhai wake mpaka pale ambapo alifikia tamati ya uhai wake mnamo September 5, 1997.
Huyu ni Mother Teresa ambae aliachana na mambo yote na kuchagua njia ya utume wa Usister katika kanisa Katoliki Nchini India, na Mwaka 2016, Papa Francis alimtambua Rasmi k**a Mtakatifu wa Kolukata.

Mother Teresa ni mmoja wa watu ninaojifunza kwao kwa maana aliwahi kusema

*"Kupenda kuna maumivu ila unapaswa kupenda kiwango cha kuyavuka hayo maumivu"*

Kutokana na mchango wake kwa jamii ya watu wa Kolukata, Umoja wa Mataifa uliichagua siku ya September 5 kila mwaka kuwa siku maalum ya kutambua mchango wa watu wanaojitolea katika jamii watu wanaofanya matendo ya huruma

Na cha ajabu ni kwamba, wewe ni miongoni mwa watu muhimu wa kukumbukwa kwa matendo yako ya huruma kwa jamii.

Kwa takribani miaka 6 sasa, umekuwa ukishiriki kwa upendo, huruma na kujitolea kuifikia jamii iliyoko kwenye vituo vya kulelea watoto.

Ninajua kuna wakati unafanya kiasi kwamba unakosa hata kakitu nyumbani k**a vile ambavyo @⁨sheddy_brand aliwahi kusema status kwake.

*Kwamba, kila Charity inatukumbusha upendo, pale ambapo umebeba kilo 10 za unga kwenda kuwapelekea wengine ili hali huenda ghetto kwako hauna hata kilo 1 ya unga.*

Kwa niaba ya Umoja wa Mataifa, niwatakie heri katika kumbukizi ya siku ya matendo ya huruma duniani.

Mungu akuhurumie k**a unavyowahurumia wengine, Akustawishe zaidi na zaidi.

*Ni maombi yangu kwamba*

BWANA akubarikie, na kukulinda;

BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili;

BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani.

Ukawe na Maongezeko zaidi na zaidi.
.
Wise
Mratibu

Safari ya Karibu, Ilianzia mbali.
02/09/2026

Safari ya Karibu, Ilianzia mbali.

Jipe nafasi ya Kukua katika upendo na kujali.Dunia haitambui kile umejifanyia, bali inatambua zaidi kile ulichowafanyia ...
30/08/2026

Jipe nafasi ya Kukua katika upendo na kujali.
Dunia haitambui kile umejifanyia, bali inatambua zaidi kile ulichowafanyia wengine.

📸

K**a Jamii ya Marafiki Initiative, tunatambua umuhimu wa mwanamke katika ujenzi wa jamii, na tunatambua kwamba umuhimu w...
29/08/2026

K**a Jamii ya Marafiki Initiative, tunatambua umuhimu wa mwanamke katika ujenzi wa jamii, na tunatambua kwamba umuhimu wake unatokana na namna anavyojijenga na namna mojawapo ya kujijenga ni kushiriki katika matukio ya kijamii.

Wanawake wa jamii ya Marafiki Initiative walipata nafasi ya kushiriki katika usiku wa tuzo wa chini ya zilizofanyika Ukunbi wa Morena hapa Morogoro Mjini.

24/08/2026

Life is a Journey!

Tunasikitika kutangaza kifo cha Mama Mzazi wa Mwanafamilia wetu Steven Nkiliye.Mungu Ailaze roho ya Marehemu Mahali Pema...
24/08/2026

Tunasikitika kutangaza kifo cha Mama Mzazi wa Mwanafamilia wetu Steven Nkiliye.

Mungu Ailaze roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.
.

Mioyo yetu hujitanua kwanza kwetu, kisha matunda yake huenda mbali zaidi kuwafikia wengine.
21/08/2026

Mioyo yetu hujitanua kwanza kwetu, kisha matunda yake huenda mbali zaidi kuwafikia wengine.

Family  ❤️
17/08/2026

Family ❤️

Choma Waterfall
17/08/2026

Choma Waterfall

Love with Hiking
17/08/2026

Love with Hiking

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jamii ya Marafiki Initiative posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share