Ubuntu Radio TZ

Ubuntu Radio TZ οΏ½ Conscious Reggae | Motivation | African Consciousness | Life Lessons | AI Visuals | Stories zinaz

28/07/2026

The Digital Kacha collection volume 1






The Collection Vol. 1 ni miongoni mwa albamu za kwanza za AI Reggae kutoka Afrika Mashariki zenye nyimbo 20 zilizotolewa...
27/07/2026

The Collection Vol. 1 ni miongoni mwa albamu za kwanza za AI Reggae kutoka Afrika Mashariki zenye nyimbo 20 zilizotolewa kwa wakati mmoja kutoka kwa Digital Kacha.

Kutoka shambani Mvomero hadi kwenye mapinduzi ya kidijitali! πŸ§‘β€πŸŒΎπŸ’» Tunajenga akili ya Afrika kupitia muziki, kilimo na um...
14/07/2026

Kutoka shambani Mvomero hadi kwenye mapinduzi ya kidijitali! πŸ§‘β€πŸŒΎπŸ’»
Tunajenga akili ya Afrika kupitia muziki, kilimo na umoja wa watu wake.

Albamu ya The Digital Kacha: Collection, Vol. 1 ipo tayari kwa Pre-Order kwenye maduka na platforms zote! Ujio huu rasmi wa nyimbo 20 zilizosheheni maisha ya kweli na mrengo wa Roots & Truth utakuwa hewani kikamilifu tarehe 25 Julai 2026.

14/07/2026

The Digital Kacha collection Vol 1 25/07/2026

10/07/2026

πŸ”₯ IMEWASILI!
Hii ni Official Megamix Preview ya album yangu mpya:
🎢 The Digital Kacha Collection Vol. 1
Nyimbo 20 za reggae zenye mapenzi, maisha, hekima, matumaini na vibes za Afrika.
πŸ“… Release: 25 July 2026
Zitapatikana kwenye platforms zote za muziki duniani.
πŸ‘‡ Niambie kwenye comments ni wimbo gani unaousubiri zaidi!
❀️ Like πŸ’¬ Comment πŸ” Share

09/07/2026



08/07/2026

πŸŽ™οΈ ROOTS & TRUTH imewadia!
Jiunge na Empress Kaya kupitia Ubuntu Radio TZ kwa reggae yenye ujumbe, hekima na vibes za kweli.
Na usikose album mpya ya The Digital Kacha Collection Vol. 1 inayotoka rasmi 25 July 2026 kwenye platforms zote za muziki.
πŸ”₯ Like β€’ Comment β€’ Share

Address

Mvomero
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ubuntu Radio TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share