FITA Media

FITA Media news update about politics, social issues, entertainment and economic issues

Mchezaji na nahodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta ametangaza rasmi kustaafu kuchezea timu ya Taifa baada ya kuitumi...
08/07/2026

Mchezaji na nahodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta ametangaza rasmi kustaafu kuchezea timu ya Taifa baada ya kuitumikia kwa takribani miaka 15.

05/07/2026

Simba washerekea ubingwa wa Kombe la CRDB kwa kuzunguka Dar es Salaam

29/06/2026

UJERUMANI katika hatua ya mtoano Kwenye michuano iliyopita ya

Simba SC imetangaza viingilio vya mchezo wao wa fainali ya kesho dhidi ya Azam FC ikiwa kiingilio cha juu kabisa ni shil...
29/06/2026

Simba SC imetangaza viingilio vya mchezo wao wa fainali ya kesho dhidi ya Azam FC ikiwa kiingilio cha juu kabisa ni shilingi Elfu kumi tu.

Ukurasa wa Facebook wa   umechapisha habari hii kuhusu alichokisema Rais wa Marekani,  “Our Great National Security Faci...
29/06/2026

Ukurasa wa Facebook wa umechapisha habari hii kuhusu alichokisema Rais wa Marekani, “Our Great National Security Facility and Ballroom is moving along on schedule. When completed, there will be nothing like it anywhere in the World!” - President Donald J. Trump
"Jengo letu kubwa la Kitaifa la Usalama na Ukumbi wa Sherehe linaendelea kujengwa kwa mujibu wa ratiba. Litakapokamilika, hakutakuwa na jengo lingine k**a hilo popote duniani!" — Rais Donald J. Trump

28/06/2026

Mchezaji wa zamani wa Young Africans Fiston Mayele amefunga kwenye michuano ya Kombe la Dunia na kufanya timu yake ya Taifa ya DR Congo kufuzu hatua ya mtoano.
Mayele alifunga Goli la pili la kuongoza kabla ya Wisa kuongeza goli la tatu katika michuano hiyo wakicheza na timu ya Taifa ya Ubzekista.

Msanii mkongwe kutoka UGANDA, Jose Chameleon Atakuwa na show ya live performance leo jumamosi  Geita katika viwanja vya ...
27/06/2026

Msanii mkongwe kutoka UGANDA, Jose Chameleon Atakuwa na show ya live performance leo jumamosi Geita katika viwanja vya FRE PARK LONGUE.

Mahak**a ya Rufaa ya Afrika Kusini imeamua kuwa familia ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu inayo haki ya kuamua ma...
27/06/2026

Mahak**a ya Rufaa ya Afrika Kusini imeamua kuwa familia ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu inayo haki ya kuamua mahali atakapozikwa Hayati Lungu, na ikibatilisha uamuzi wa awali ulioruhusu Serikali ya Zambia kuurejesha mwili wake kwa ajili ya mazishi ya Kitaifa.

Katika uamuzi uliotolewa Juni 23, 2026, Mahak**a ilisema Serikali ya Zambia haikuweza kuthibitisha kuwa ina mamlaka ya kisheria chini ya Sheria za Afrika Kusini ya kupuuza matakwa ya familia kuhusu mahali na namna ya mazishi ya Lungu.
Mahak**a pia ilibaini kuwa hakukuwa na makubaliano ya mwisho kati ya pande hizo kuhusu mazishi yake.

Familia ya Hayati Edgar Lungu imekuwa ikisisitiza kuwa Kiongozi huyo wa zamani hakutaka kupewa mazishi ya Kitaifa Nchini Zambia na alipendelea azikwe Nchini Afrika Kusini ambako alifariki dunia Juni 5, 2025 akiwa anapatiwa matibabu.

Ukurasa wa EAST AFRICA TV umechapisha picha hii na caption inayouliza nani maarufu zaidi Duniani kati ya mastaa hao kwen...
27/06/2026

Ukurasa wa EAST AFRICA TV umechapisha picha hii na caption inayouliza nani maarufu zaidi Duniani kati ya mastaa hao kwenye picha, je wewe unadhani nani maarufu zaidi??

10/06/2026

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FITA Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share