Jaka Jaka Og

Jaka Jaka Og Actor
comedian
content creator &
Communication Expert
(WATOTO WA 2000 CONTENTS ON TREND 📈)

Muigizaji, mchekeshaji ,mtaalam wa mawasiliano na mtengenezaji wa maudhui ya mtandaoni

Ukiona una mawazo mengi na unapitia Magnum katika maisha usipende kujitenga na kukaa peke yako Wengi hujiua wakiwaza pek...
16/12/2023

Ukiona una mawazo mengi na unapitia Magnum katika maisha usipende kujitenga na kukaa peke yako Wengi hujiua wakiwaza peke yao, jichanganye na watu ufarijike ,Kubaliana na Hali Kisha kula urefu wa kamba yako ipo siku kamba itakatika utakul utakapo

R.I.P wote waliojiua kwa sababu ya hali ngum ya maisha 🥺🥺🙏🏾

Engine ya mwili wa mwanadamu ni akili, usishangae kwa nini mtu anakupelekesha anavyotaka yeye ni kwa sababu ameiteka aki...
11/12/2023

Engine ya mwili wa mwanadamu ni akili, usishangae kwa nini mtu anakupelekesha anavyotaka yeye ni kwa sababu ameiteka akili yako, na akiiteka akili anateka moyo na kila kitu. Jikwamue kwa kutafakari kwa kina marafiki, ndugu na wapenzi ulio nao Kisha mtangulize Mungu mbele 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

30/11/2023

Hii inakata kila kitu Cha jikon kwa muda mchache sana haitumii umeme Wala chaji wahi Sasa mzigo upo mchache
0674323677

Address

Ubungo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jaka Jaka Og posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share