Wajasiriamali.co.tz

Wajasiriamali.co.tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wajasiriamali.co.tz, Media/News Company, P. O. Box 3056, Morogoro.

Wajasiriamali.com is an East African E-magazine and Website that carries Valuable Entrepreneurial Articles, Business news Inspirational contents, Business Entrepreneurial contents (Business Plans, Books etc.).

We are now Kaspersky MSP Reseller with Certified Sales Specialist: Pata Kaspersky Antivirus kwa bei nzuri na kwa uhakika...
18/01/2024

We are now Kaspersky MSP Reseller with Certified Sales Specialist: Pata Kaspersky Antivirus kwa bei nzuri na kwa uhakika : 0754210627

Nzunda Technologies Limited

Tsh 5000 each . Softcopy (PDF)
28/12/2023

Tsh 5000 each . Softcopy (PDF)

Pata kitabu hiki kwa Tsh 5,000 (Softcopy/PDF)✅Kila point ndani ya kitabu hiki imefanyiwa utafiti wa kutosha duniani na m...
10/12/2023

Pata kitabu hiki kwa Tsh 5,000 (Softcopy/PDF)
✅Kila point ndani ya kitabu hiki imefanyiwa utafiti wa kutosha duniani na matokeo yake hayapingiki. Tumeweka na ushahidi wa tafiti husika. Na mwanandishi Ibrahim John Nzunda ni mmiliki wa kampuni NNE(4)
✅Kwa kila kipengele Tumetumia maneno na mfano wa tangazo husika jinsi linavyokaa. Kuna picha za mifano (illustrations) zaidi ya 50 ndani ya kitabu hiki.
✅Kanuni zilizopo humu ndio zinatumiwa na makampuni yote maarufu, ni kanuni za viwango vya kimataifa na kitaalamu.

Ndani ya kitabu hiki utapa yafuatayo(YALIYOMO);

PICHA
✔️ Sehemu sahihi ya kuweka picha kwenye tangazo
✔️ Faida ya kuweka kikwazo (obstacle) upande wa kulia wa tangazo
✔️ Mteja kujiona k**a mtumiaji wa kwanza
✔️ Kwa bidhaa ghari: umbali sahihi
✔️ Mpangilio kwa jambo lililopita vs linalokuja

RANGI
✔️ Rangi sahihi ya kuonesha tatizo
✔️ Idadi ya rangi kwa tangazo lenye maneno mengi
✔️ Tangazo la tukio lijalo:Rangi za kutumia

MANENO
✔️ Tangazo la tukio lijalo:Rangi za kutumia
✔️ Vina vya Kaulimbiu au neno la kuchukua hatua
✔️ Mkao wa logo kwenye matoleo mengi ya tangazo

WATU WA KWENYE TANGAZO
✔️ Vigezo vya mtu anayetumika kwenye tangazo
✔️ Mtazamo wa macho kwa bidhaa ya kutamanika
✔️ Faida za picha inayoonesha harakati/mtembeo

UTUNZI/MPANGALIO WA UJUMBE
✔️ Tangazo hasi ili kudaka umakini wa mteja
✔️ Tangazo chanya ili kukumbukwa
✔️ Vibwagizo juu-chini ili kunasa umakini
✔️ Dozi ya tangazo lililo na kitu cha kila siku
✔️ Kazi ya kuweka kitu nje ya maana au kosa makusudi
✔️ angazo linaoisha na picha ya kifuatacho

MAJIRA/MUDA WA KUTANGAZA
✔️ Muda mzuri ili kutengeneza mategemeo ya baadaye
✔️ Faida ya kuyatenganisha matangazo kwa muda

Address

P. O. Box 3056
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wajasiriamali.co.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share