
15/01/2025
Idara ya Huduma za Wanawake na Watoto Konferensi ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania imeendesha semina kwa Vijana wa k**e na wa kiume yenye lengo la kuwakumbusha Maadili na Mwenendo wa Mkristo.
Semina hiyo imefanyika katika Kanisa la Waadventista Wasabato Mbeya Kati imeongozwa na Mkurugenzi wa Idara hiy Madam Stela Baravuga akishirikiana na wakufunzi wengine
Semina imehusisha Mitaa Mitano ambayo ni Mtaa wa Ituha,Ikulu,Uyole,Rwanda na Itezi
Rai imetolewa kwa Wazazi na Walezi kutenga muda wa ziada wa kuzungumza na Vijana ili kujua na kutatua changamto zinazowakabili.