Mc Roby

Mc Roby Makala mbalimbali kuhusu tamaduni, siasa, michezo, afya na uchumi.

Tuko live kutoka...............
07/12/2024

Tuko live kutoka...............

Ilikua siku nzuri kwetu sisi tuliohitmu elimu ya msingi mwaka 2007 dhidi ya wadogo zetu waliohitimu 2009 ambapo tuliwaka...
01/11/2024

Ilikua siku nzuri kwetu sisi tuliohitmu elimu ya msingi mwaka 2007 dhidi ya wadogo zetu waliohitimu 2009 ambapo tuliwakanda bao 3_2 na k**a wewe pia ni muhitimu wa 2007 gonga like au comment

Kwa muujibu wa Dar 24
07/05/2024

Kwa muujibu wa Dar 24

“Uongozi utapitia ripoti ya Benchi la Ufundi lililopo chini ya Juma Mgunda pamoja na Kamati ya ufundi baada ya msimu huu kumalizika ili wajue ni sehemu gani za kupaboresha.”

“Tutafanya maamuzi magumu kwa lengo la kuiboresha timu yetu, ninaamini kila Mwanachama na Shabiki wa Simba SC atafurahi kitakachofanyika katika kipindi cha usajili wa kuelekea msimu ujao 2024/25.”

"Ninaomba Wanachama na Mashabiki wa Simba SC wasiwe na wasiwasi msimu ujao tutafanya mabadiliko ambayo yatamwacha mdomo wazi kila mtu, tumedhamiria makubwa tunataka turudishe heshima yetu ya mwanzo,"

Meneja Habari na Mawasilino Simba SC – Ahmed Ally

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mc Roby posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mc Roby:

Share