Chuma 255

Contact the business

Chuma 255 Page hii ni kwa ajili ya Habari na Elimu. [email protected] +255 712 222244

Cool and respectfull life time, out going,down to earth love making friends,i love all hate me?

18/09/2026

MKOA WA MOROGORO KUANZA ZOEZI LA UTAMBUZI WA MIFUGO ILI KUMARISHA AMANI NA MATUMIZI BORA YA
ARDHI
Leo Septemba 17, 2026, nimekutana na waandishi wa habari kutoa taarifa rasmi kwa umma kuhusu kuanza kwa zoezi la utambuzi wa mifugo na wafugaji mkoani Morogoro hatua
inayolenga kuleta ufumbuzi wa kudumu wa changamoto za matumizi ya ardhi na kuimarisha mahusiano mema kati ya wakulima na wafugaji.

Zoezi hili litakaloendeshwa kwa siku 60 , litalenga:
Kubaini idadi halisi ya mifugo na maeneo yanayotumika kwa ufugaji ili kuboresha mipango ya matumizi ya ardhi.

Kuimarisha hifadhi ya rasilimali za maji, ikiwemo Mto
Kilombero unaochangia takribani 65% ya maji katika Bwawa la Mwl. Nyerere.

Kumarisha hifadhi ya rasilimali za maji, ikiwemo Mto Kilombero unaochangia takribani 65% ya maji katika Bwawa la Mwl. Nyerere.
Rai na Msisitizo wetu:
Tunalenga kuona kila mwananchi anafanya shughuli zake kwa amani na kufuata sheria na taratibu zilizowekwa. Wafugaji na wakulima wote wanasihiwa kushirikiana kikamilifu na timu zitakazohusika ili kufanikisha utambuzi huu kwa ustawi wa Mkoa wetu. Hatua za kisheria zitaendelea kuchukuliwa kwa yeyote atakayeenda kinyume na miongozo hii.

Dhamira yetu ni kujenga Morogoro yenye amani, utulivu na maendeleo endelevu kwa wote.

18/09/2026
01/09/2026

Mounge wa Gairo, Ahmed Shabbiy, ametoa mkopo wa pikipiki 370 kwa vijana wa Jimbo la Gairo kwa lengo la kuwawezesha kiuchumi na kuongeza fursa za kujiajiri.

Akizungumza katika hafla ya ugawaji wa pikipiki hizo, Shabbiy amesema kigezo kikuu cha kupata mkopo huo ni kuwa mtu mwenye hali ya chini kiuchumi, huku akisisitiza kuwa mwombaji anatakiwa pia kuwa mkazi wa Wilaya ya Gairo.
Amesema pikipiki hizo 370 za awali ni chachu ya kuwafikia
vijana wengine ambao hawajapata nafasi, huku akiwataka wanufaika kuwa waaminifu katika kurejesha mikopo hiyo.
Shabbiy amesema marejesho ya mkopo huo yamepangwa
kufanyika kwa kiasi cha shilingi 5,000 kwa siku.

30/08/2026

*Mhe. Abdulaziz Mohammed Abood*, Mbunge wa Morogoro Mjini, ameongoza na kusimamia taratibu za kusafirisha mwili wa marehemu Josse, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuelekea Morogoro.

Katika hatua hiyo, *Mhe. Abood* alihakikisha taratibu zinazohitajika zinafanyika kwa ufanisi, huku akiwa pamoja na ndugu, jamaa na waombolezaji katika kuhakikisha mwili wa marehemu unaondoka salama kuelekea Morogoro kwa ajili ya taratibu za mazishi.

*Mhe. Abood* pia alitoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wanachama wenzake wa CCM kufuatia msiba huo, akiwataka kuwa na moyo wa subira na mshikamano katika kipindi hiki cha majonzi.

Aidha, alisisitiza umuhimu wa kuendelea kushirikiana na kusaidiana katika kipindi hiki kigumu, huku akimuombea marehemu apumzike kwa amani.

“Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu. Tumefika hapa kuhakikisha tunasimama pamoja nao katika kipindi hiki kigumu. Mwenyezi Mungu awape nguvu na subira,” amesema *Mhe. Abood.*

Imetolewa na: *Idara ya Habari na Mawasiliano Ofisi ya Mbunge.*

29/08/2026

Kwani kuna biashara yoyote inaleta kilio ?

26/08/2026

Dar es Salaam mornings are so pleasant-especially on weekend mornings!
Enjoying a city drive down Maktaba Street, Azikiwe Street, and Ali Hassan Mwinyi Road. Ali Hassan Mwinyi Road will soon be reconstructed to accommodate Phase 4 of the BRT system, which will connect the City Centre to Tegeta.

Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbiametangaza kujiuzulu nafasi hiyo.Dkt. Nchimbi amesema amemwandikia Rais Sami...
25/08/2026

Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi
ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo.
Dkt. Nchimbi amesema amemwandikia Rais Samia Suluhu Hassan barua ya kustaafu siasa na utumishi wa umma.

15/08/2026

Watch, follow, and discover more trending content.

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuma 255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chuma 255:

Shortcuts

Share