SOKA

SOKA Habari zote za kimichezo utazipata kupitia ukurasa huu

UNAWAPA ASILIMIA NGAPI WASHAMBULIAJI WATATU WA RED BULL LEIPZIG KATIKA MICHUANO YA EURO MWAKA HUU👀👀👀 Benjamin Sesko=Slov...
14/06/2024

UNAWAPA ASILIMIA NGAPI WASHAMBULIAJI WATATU WA RED BULL LEIPZIG KATIKA MICHUANO YA EURO MWAKA HUU👀👀👀

Benjamin Sesko=Slovenia✓

Lois Openda=Belgium✓

Xavi Simons=NederLand✓

EURO YA MWAKA HUU🔥🔥🔥

VILABU VILIVYOTOA WACHEZAJI WENGI MICHUANO YA EURO MWAKA HUU🔥🔥🔥 Manchester City=13✓ Inter Nazionale Milano=13✓ Real Madr...
14/06/2024

VILABU VILIVYOTOA WACHEZAJI WENGI MICHUANO YA EURO MWAKA HUU🔥🔥🔥

Manchester City=13✓

Inter Nazionale Milano=13✓

Real Madrid=12✓

Paris Saint Germain=12✓

Bayern Munichen=11✓

Red Bull Salzburg=11✓

Arsenal=10✓

Bayer Leverkusen=10✓

INTER MIAMI INAWEZA IKAWA KLABU YA MWISHO KWA LEO⚽🇦🇷👀Nyota wa kimataifa wa Argentina na klabu ya Inter Miami Lionel Mess...
14/06/2024

INTER MIAMI INAWEZA IKAWA KLABU YA MWISHO KWA LEO⚽🇦🇷👀

Nyota wa kimataifa wa Argentina na klabu ya Inter Miami Lionel Messi "La Pulga" amethibitisha na kuweka wazi kwamba klabu ya Inter Miami inaweza ikawa klabu yake ya mwisho katika maisha yake ya soka ulimwenguni na hatofikiria kwenda sehemu nyingine yoyote zaidi ya kustaafu akiwa na Inter Miami inayomilikiwa na tajiri David Beckham.

NI UPI MTAZAMO WAKO KWA LEO MESSI🤔🤔🤔🤔

ERIC TEN HAAG KUENDELEA KUWANOA MASHETANI WEKUNDU🤔🤔🤔 Kocha wa Manchester United Eric Ten Haag ataendelea kusalia katika ...
12/06/2024

ERIC TEN HAAG KUENDELEA KUWANOA MASHETANI WEKUNDU🤔🤔🤔

Kocha wa Manchester United Eric Ten Haag ataendelea kusalia katika kikosi cha mashetani wekundu kwa misimu inayofuata.

Kocha wa Manchester united Eric Ten hag ana matumaini ya kupata ushindi dhidi ya Manchester city katika fainali ya kombe...
22/04/2024

Kocha wa Manchester united Eric Ten hag ana matumaini ya kupata ushindi dhidi ya Manchester city katika fainali ya kombe la FA cup inayotarajiwa kupigwa katika dimba la Wembley.

Beki wa kimataifa wa Canada na klabu ya Bayern Munichen Alphonse Davies ataukosa mchezo wa mkondo wa pili wa ligi ya mab...
10/04/2024

Beki wa kimataifa wa Canada na klabu ya Bayern Munichen Alphonse Davies ataukosa mchezo wa mkondo wa pili wa ligi ya mabingwa barani ulaya dhidi ya Arsenal katika dimba la Allianz Arena baada ya kuwa na kadi za njano nyingi.
Je ni pigo kwa Bayern Munichen?

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SOKA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share